Maarab
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 415
- 257
Sio cash ni kuweka kitu yyote iko na thaman sawa nahio pesa.Dhamana Milion 10? Mbona watu wanatupa pess jamani? Au ndo kukomoana? Kwa kesi ya dhamana Milioni 10?
Sio cash ni kuweka kitu yyote iko na thaman sawa nahio pesa.Dhamana Milion 10? Mbona watu wanatupa pess jamani? Au ndo kukomoana? Kwa kesi ya dhamana Milioni 10?
Na huyo mwenyezi Mungu kasema tutii mamlaka zilizowekwa duniani. Don't you know that?Mwenyenzi Mungu anamamlaka kuliko huyo unayemuabudu.Sina muda wakuabudu kiumbe kama mimi
Na huyo mwenyezi Mungu kasema tutii mamlaka zilizowekwa duniani. Don't you know that?
Mpaka nawaonea wivu yaanii!Ila wanapendana sana na Esta Bulaya...kila kona wako tugeza. Hope hata ingekuwa jela Bulaya angeomba wafungwe tugeza
Watuwaliokosa kazi ,kazi yao kuchafua watu na kudhalilishana mitandaoniMh! Picha hiyo hapo juu, sijui maneno tunayosikiaga hapa mtaani kuhusu "urafiki" wao ni za kweli?
Zinazotenda haki. Sii tu mamlaka kwa vile ipo duniani.Na huyo mwenyezi Mungu kasema tutii mamlaka zilizowekwa duniani. Don't you know that?
Sio cashDhamana Milion 10? Mbona watu wanatupa pess jamani? Au ndo kukomoana? Kwa kesi ya dhamana Milioni 10?
Unajifanya hujui kusoma, lakini kuandika unaweza. Weka haya hayo aliyoya ropoka.Unajifanya hujui aliropoka nini? Arudie tena aone moto
Kumbe kuna mitusi???Kukosoa ukosoaji ufanyike lakini lazma taasisi ya Urais iheshimike tusishabikie kila kitu kisa tu kimefanywa na mpinzani. ...Mamlaka hutoka kwa Mungu bila Mungu kupanga hakuna litakalowezekana hivyo lazima mamlaka iheshimiwe....Rais anastaili kuheshimiwa na kukosolewa kwa lugha inayofaa si ya kejeli na matusi.
Sawa Maserati, na falme zote zilizokengeuka Mungu aliziangusha, let's wait and see if/when the current regime falls.Zinazotenda haki. Sii tu mamlaka kwa vile ipo duniani.
Na ndio maana akamuinua musa kumdondosha farao. Atawainua wanyonge wamtoe huyo muonezi, kama Goliath
Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda MkondyaKapandishwa kizimbani kwa kosa gani!?
Tunaomba umelizie tafadhali
Well saved in my archives Maserati, but one thing for sure, hakuna utawala wowote duniani unaotenda haki, hakuna! Kwa Tanzania tu, kuanzia alipokuwa JKN, AHM, BWM, JMK na leo JPM, hakuna haki. Righteousness is a precious thing that we get from God only (for those who believe).Inaweza isiwe leo wala kesho, wala mwaka huu. But there is a day. Save my words.
Sema kuna wanaume wasio jiamini wakiambiwa ukweli wanajiharishia. Wanamuua nzi kwa rungu!naye aache sasa kuropoka
akirudi Kawe ajifunze kuwa kuna Wanaume hawadhihakiwi
That'swhy i said, save my word. Other countries experience oup de tat kwa sababu zipi?? No place to hide the truth, ikifika zamu ya Tz tutayaona mengi tu.Well saved in my archives Maserati, but one thing for sure, hakuna utawala wowote duniani unaotenda haki, hakuna! Kwa Tanzania tu, kuanzia alipokuwa JKN, AHM, BWM, JMK na leo JPM, hakuna haki. Righteousness is a precious thing that we get from God only (for those who believe).
Kesi kesi ni mladi wa Bashite mshauri mkuu wa baba jescaKitu pekee walichofanikiwa ccm ni kesi za kuzushia watu wasio na hatia