Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
Mabashite ya CCM unawashanga sana wanaposema kunyea debe hivi serikali ya miaka hamsini inaruhusu watu wake kunyea debe na kujitishwa kichwani mavi kwenda kutupa harafu wanaona sifa muna akili kweli nyie au ndio stunt brain zinawasumbuwa hivi huoni aibu kwamba mumeshindwa hata kuboresha selo itakuwa shule za msingi au sekondari au vyuo vikuu kama choo cha kunyea mavi kimewashinda , nyie akina kula kulala na kuvimbiwa fedha za walipa kodi na wavuja jasho you shouldnt be proud for your failuresKabisa kabisa. Yoyote atakayejifanya mabangi kama Mdee hakuna jinsi akanyee debe tu
Maana yake uchunguzi bado unaendeleaHivi wenzangu mnaelewa maana ya "ushahidi haujakamilika"?
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
Hivi hawezi kuwashitaki wakome? Maana wamezidi uonevuPolisi washitakiwe kwa kumuweka ndani zaidi ya saa 48 kwani na wao hawapo juu ya sheria, inapaswa waliomuweka huko wapate fundisho ili iwe somo kwao waache kufanya kazi kwa upnevu mkubwa.
Serikali ya kesi kesi kesi visasi na kukomoana ikisikia UKUTA namba 2 watatuma watu waende Usiku ofisini kwa mbowe waweke Mihuri ya jwtz, magereza, polisi na uhamiaji na Bangi gunia mbili kisha wanajidai kwenda kumsachi ofisini ndipo watambambikia kesi ya uhujumu uchumi, kwa kipindi hiki yafaa sasa teknolojia ibadilike baadhi ya vitu kama mihuri iichwe kutumika watumie vidole gumba na style zingine ili kukwepa kumbambikiana kesi za kukomoana.Mjinga mkubwa mbona nyinyi hamgoji uchaguzi munauza sura na kuhonga watu walioshiwa akili kwa kuwapigia makofi walk the talk hadi 2020 nyie kila siku munafanya siasa kiboko chenu ni UKUTA tu uone mutakavyorusha ndge na kuwafanyia maandamnao askari we need UKUTA no 2
Mkuu mtu kama una akili timamu huwezi kushabikia uozo wa CCM.
Uchunguzi gani? Ilhali wamemshikilia MTU kwa siku tano? That means they had enough evidence necessary to convince anybody.Maana yake uchunguzi bado unaendelea
Wewe ni dr wa mitishamba? sijui kama unaweza kuponya hata panya.Utimamu wa akili, ni pale unapopambanua hoja kabla ya ku comment. Lakini unapo commen kwasababu ya itikadi, nalo ni tatizo kubwa zaidi linalowakumba wengi na wewe ukiwa mmoja wao. CCM au CHADEMA katika jambo hili vinaingia na kutokea wapi? Au Mdee yeye ni bora zaidi wabunge wote wa kambi ya upinzani! Hili ndo tatizo la post za kishabiki
Nitafurahi siku Magufuli na kundi lake watakapofanywa kama gadaffi au Sadaam maana hawajui kujifunza makosa yao kwa wengine almaaruf wa dunia waliofanyia mema nchi zao lakini kwa kujifanya Miungu watu wakaishia kujificha kwenye mashimo wengine mitaroni it will happen to this regime if the dont change hakuna udhalimu pipote duniani uliokuwa na mwisho mwema just be warnedMwambieni akanunue zipu afunge mdomo wake akiendelea hawezi kubaki salama
ipo sheria inaruhusu kumshitaki polisi akimuweka ndani mtuhumiwa saa 48 pasipo kufikishwa mahakamani, Mdee akitaka anaweza kuwafungulia kesi na akawaHivi hawezi kuwashitaki wakome? Maana wamezidi uonevu
wajifunze kwa Marehemu chiluba wa ZambiaNitafurahi siku Magufuli na kundi lake watakapofanywa kama gadaffi au Sadaam maana hawajui kujifunza makosa yao kwa wengine almaaruf wa dunia waliofanyia mema nchi zao lakini kwa kujifanya Miungu watu wakaishia kujificha kwenye mashimo wengine mitaroni it will happen to this regime if the dont change hakuna udhalimu pipote duniani uliokuwa na mwisho mwema just be warned
Kama hali yenyewe ndvyo hivi maneno ya kawaida kwake Jpm ni maneno ya kuudhi sijui itakuwaje wakati wa kampeni ya uchaguzi 2020 sabab tusipoangalia kwa umakini mwenendo wake wapinzani wengi watakamatiwa majukwaani wakidaiwa kumuudhi mkuu wa NchiAmani ni tunda la haki mwambieni mkulu haya mambo anayoanzisha na Vijana wake hatujayazoea,unapoomba kuombewa Wakati hutendi haki sioni maombi hayo kupokelewa na Mungu,yy ni mwenye haki hapendi dhulma.
No man can stand attempting to do what you're thinking and if he/she will try that will be his/her end..Nitafurahi siku Magufuli na kundi lake watakapofanywa kama gadaffi au Sadaam maana hawajui kujifunza makosa yao kwa wengine almaaruf wa dunia waliofanyia mema nchi zao lakini kwa kujifanya Miungu watu wakaishia kujificha kwenye mashimo wengine mitaroni it will happen to this regime if the dont change hakuna udhalimu pipote duniani uliokuwa na mwisho mwema just be warned
Wewe ni dr wa mitishamba? sijui kama unaweza kuponya hata panya.
Ha ha OOH My wait and see you think we r in the stone age era, if you think you are above the law keep on doing what your doing guys you ill rip what you sowNo man can stand attempting to do what you're thinking and if he/she will try that will be his/her end..
Anadekezwa hana nyimbo huyoKama hali yenyewe ndvyo hivi maneno ya kawaida kwake Jpm ni maneno ya kuudhi sijui itakuwaje wakati wa kampeni ya uchaguzi 2020 sabab tusipoangalia kwa umakini mwenendo wake wapinzani wengi watakamatiwa majukwaani wakidaiwa kumuudhi mkuu wa Nchi
Kubishana na wewe ni kupoteza muda, uwezo wako unalingana na wa Bashite.Bado hujajibu hoja, umejibu jina