Tena za kipuuzi!!Viwanda vya CCM ni kesi.
Kabisa mkuuTena za kipuuzi!!
Bwanaa ehh!yaani ukisimama nkesi ukilala nkesi ukichungulia nkesi yaani hatariAwamu ya kesi
Hahahahaaa, bomu jingine hilo.., Chama Cha Makinikia!Hatumjaribu tunasema ukweli tu...............Ni jina lakinia angalia wenye Chama Cha Makinikia wasikusikie
wamfanye kma Lema
Hahahahaaa, bomu jingine hilo.., Chama Cha Makinikia!
Subiria povu tu sasa!!!
Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
Waki invest zaidi kwenye kjenga. Mahakama na magerezaHata kukiwa na kesi nne zinakuwa kiwanda!
wakili wa serikali ajiandae kujitia aibu