Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

hapo jamhuri waxhaxhindwa navoona coz kesi inasimamiwa na wakili msomi peter kibatala[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Wakili Msomi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kesi hapo......

Hiyo ni delaying tactics tu ya serikali ya awamu ya 5 inataka kutusahaulisha kuhusu zile Noah walizoahidi kumpa kila mtanzania kutokana na wizi wa makinikia tuliofanyiwa na Acacia, ambapo walisema Acacia wamekubali kutulipa fidia ya TShs trillion 108!
 
Mh! Picha hiyo hapo juu, sijui maneno tunayosikiaga hapa mtaani kuhusu "urafiki" wao ni za kweli?
 
Wamekwepa mtego wa Hapi kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka hivyo wakaona Jamhuri impeleke mahakamani hata kama hakuna kesi ya msingi
hii inakwepesha vipi kesi ya kikatiba ya kuhoji mamlaka ya DC (na RC) katika kamata zao za masaa 48?
 
Wamekwepa mtego wa Hapi kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka hivyo wakaona Jamhuri impeleke mahakamani hata kama hakuna kesi ya msingi
Wakili wa Mdee Ahakikishe Ally Happi anakuwa shahidi kwenye kesi hiyo .
 
Next time asirudie kumtukana tena Rais wetu mpendwa..

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Amani ni tunda la haki mwambieni mkulu haya mambo anayoanzisha na Vijana wake hatujayazoea,unapoomba kuombewa Wakati hutendi haki sioni maombi hayo kupokelewa na Mungu,yy ni mwenye haki hapendi dhulma.
 
Ally Happy na yeye anajiona mungu mtu.......asione atakaaa hapo madarakani miaka yote
 
Back
Top Bottom