utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Usagaji ni kitu kibaya mno
Dikteta huyo hakuna wa kumuombea tena kwanza Bashite kampelekea utitiri wa waganga wa kienyeji hawamuni Mungu tena wamekuwa wapenda visasiAmani ni tunda la haki mwambieni mkulu haya mambo anayoanzisha na Vijana wake hatujayazoea,unapoomba kuombewa Wakati hutendi haki sioni maombi hayo kupokelewa na Mungu,yy ni mwenye haki hapendi dhulma.
Tena za upinzaniViwanda vya CCM ni kesi.
Kabisa mkuuTena za upinzani
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Usagaji upi kati ya Le mutuz na Bashite? au usagaji wa kuzushwa na wana CCM wazushi, muulize kwa nini mke wa Bashite hapati mtoto miaka 6 kwenye ndoaUsagaji ni kitu kibaya mno
Hiyo Mkuu Daudi Mchambuzi haina kuuliza.wakili wa serikali ajiandae kujitia aibu
jamani mmesahau kuwa tulikuwa tunaombea tupate rais wa aina hii sasa kulikoni? au emezidisha speed?kweli itajulikana tu.! awamu hii mungu anaiona
Mkapa ni kijina, Bashite mkubwa.Kweli mkuu wanatakiwa wabadilike wawe wanachukua vijana tena WAADILIFU kama akina KINGUNGE na LOWASA.
kweli itajulikana tu.! awamu hii mungu anaiona
Bashite Maliyamungu kamshauri awe kama Mseveni wawatunge jela wahindi matajiri wote wamegundua watanzania masikini hufurahia tajiri akifungwa hata kwa kesi ya kutengeneza na kumbambikia, wanataka wabadili katiba Mtukufu atawale mpaka miaka 30 akiwa kikongwe kama kule Zimbabwe.Ally Happy na yeye anajiona mungu mtu.......asione atakaaa hapo madarakani miaka yote
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na
waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
Rais wa hivi angeanza kwa vyeti vya Bashite kisha mikataba ya ununuzi wa ndege, ujenzi uwanja wa ndege chato, ukarabati wa bandari, kivuko kupelekwa bungeni ijadiliwe watanzania wangemuelewa lakini Tabia mbovu ya kuzuia mikutano ya Wapinzani kuwabambikia kesi kulipa visasi kwa matajiri ili wawapore mali zao haitamsaidia kuombewa tena na watanzania wengi wameanza kuchoka na kesi kesi kesi kwa Wapinzani na visasi vyake binafsi huku Bashite na yy akimtumia kulipa visasi vyake humo humo.jamani mmesahau kuwa tulikuwa tunaombea tupate rais wa aina hii sasa kulikoni? au emezidisha speed?
Polisi washitakiwe kwa kumuweka ndani zaidi ya saa 48 kwani na wao hawapo juu ya sheria, inapaswa waliomuweka huko wapate fundisho ili iwe somo kwao waache kufanya kazi kwa upnevu mkubwa.Hili ndilo lilitakiwa kufamnyika siku ya kwanza, kumkamata halafu kumfungulia mashtaka
Kitendo cha kumweka mahabusu siku 5 bila mashtaka ni kukiuka haki za Raia
Polisi walimkamata kwa amri ya DC wa Kinondoni bila kujua ana kosa ganiHakuna kitu
kinachoitwa kikao na waandishi. Waandishi wapo kazini hawafanyi vikao na watu
Pili, hakuna kitu kinachoitwa kupinga maamuzi ya Rais.
Kinachoelezwa kisheria ni kupinga sheria
Rais ana wigo wa amri na sheria. Si kila kauli yake ni sheria au amri!
Rais hawezi 'kuingia' katika familia yako, halafu ukapinga na kuwa hilo ni kosa! Ney
Tatu, maamuzi yanayosemwa alipinga ni kuhusu hoja ya mabinti na Mimba.
Hii ni hoja aliyotoa haikuwa sheria au amri na imejadiliwa na watu wengi.
Halima kapinga wapi?
Ukitazama kwa undani Polisi wamechukua mzigo wa DC ambaye sasa ana waruka, yupo pembeni Polisi wanahangaika.
Mwisho wa siku taswira ya Polisi kwa umma inakuwa mbaya kwasababu wamechomekewa na DC!
Mjinga mkubwa mbona nyinyi hamgoji uchaguzi munauza sura na kuhonga watu walioshiwa akili kwa kuwapigia makofi walk the talk hadi 2020 nyie kila siku munafanya siasa kiboko chenu ni UKUTA tu uone mutakavyorusha ndge na kuwafanyia maandamnao askari we need UKUTA no 2Povu jingi,with no substance.Hata hivyo ni vizuri watu wakakumbuka kwamba uchaguzi umekwisha na mwingine ni 2020.Tusubiri.Hakuna sababu ya kuendelea kusigana na mamlaka iliyopo.