aombewe nini....?Tumuombee
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Tajiri gani kanyanyaswa? Singasinga na Manji?Na matajiri
Madaraka ya Magufuli mwisho wake ni miaka mitano tu , akibahatika atafikisha kumi tu .Huyu anatakiwa kunyooshwa kama yule mropokaji wa Arusha
sasahivi kawa mbeba Biblia
Kweli isee naona chato saccos katika ubora wao [emoji809] call me jeyChama Cha Makinikia aka SACCOS ya CHATTLE
Kapandishwa kizimbani kwa kosa gani!?Mbunge wa Kawe, Halima Mdee CHADEMA leo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam. #
Wakitoka waingie akina nani? LOWASA na KINGUNGE?Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Hata Mimi mkuu! Haki ya nani shujaa ni shujaa tuuI love this picture.
![]()
Hata Mimi mkuu! Haki ya nani shujaa ni shujaa tuu
Rahisiiiii mpendwaa aliye bobea uchenjuzi wa makinikia hewa.Next time asirudie kumtukana tena Rais wetu mpendwa..
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Anajiita mpenzi wa munguAlimwambia SPIKA wa Bunge awashughulikie wanaomkosoa ndani ya BUNGE RAIS atawashughulikia nje ya BUNGE.Na huyo ndiyo RAIS wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aka Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia
hahahahaha...wakili siku hizi umekuwa mtupu sanaHilo ndilo jambo la msingi. Asomewe mashtaka yajulikane na mambo mengine yaendelee.
Kivipi?hahahahaha...wakili siku hizi umekuwa mtupu sana
kwako wewe hapo unaona hilo ndilo jambo la msingi...kwamba asomewe tu mashtaka then mambo mengine yaendelee as if hakuna kilichotokeaKivipi?