View attachment 539023
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.
Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...
Stay tuned..
UPDATES:
"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
Mpwa tuna wakati mgumu sana lakini kwa mapenzi yake Mola tutashinda haya.Alimwambia SPIKA wa Bunge awashughulikie wanaomkosoa ndani ya BUNGE RAIS atawashughulikia nje ya BUNGE.Na huyo ndiyo RAIS wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aka Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia
I'm full of poison..natamani kujilipua!!!Serikali kandamizi ikiamua kukuandama haikosi shitaka.
Uzalishaji wake umepanda.Viwanda vya CCM ni kesi.
Mkuu hiyo misukule ni zaidi ya mashetani na yanajitahidi kumuiga lucifer mkuu wao!! kila mmoja anajitahidi kuwa shetani zaidi ya mwingine kwa sababu ndizo sifa anazotaka mkuu wao!! Anayetesa sana binadamu mwenzake hasa watetezi wa watanzania huyo anapata sifa zaidi na zaidi kutoka kwa mkuu!!Utajijua mwenyewe unayeabudu BINADAMU mwenzako badala ya Mungu aliyekuumba.Kama Binadamu anamkosa Mungu na bado Mungu hampi adhabu leo Ukimkosoa binadamu mwenzako unapelekwa rumande
Sana mkuuUzalishaji wake umepanda.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Anahakikishiwa na ulinzi mara dufu.Mkuu hiyo misukule ni zaidi ya mashetani na yanajitahidi kumuiga lucifer mkuu wao!! kila mmoja anajitahidi kuwa shetani zaidi ya mwingine kwa sababu ndizo sifa anazotaka mkuu wao!! Anayetesa sana binadamu mwenzake hasa watetezi wa watanzania huyo anapata sifa zaidi na zaidi kutoka kwa mkuu!!
Tugeza ezi waniIla wanapendana sana na Esta Bulaya...kila kona wako tugeza. Hope hata ingekuwa jela Bulaya angeomba wafungwe tugeza
Yule sio binadamu mwenzako, Yule ni mamlaka. Endelea kuwaabudu wana ufipaUtajijua mwenyewe unayeabudu BINADAMU mwenzako badala ya Mungu aliyekuumba.Kama Binadamu anamkosa Mungu na bado Mungu hampi adhabu leo Ukimkosoa binadamu mwenzako unapelekwa rumande
Dah huko bana hapafai tena naona kama polisi wamepashindwa flani hvNasikia kibiti usiku wa kuamkia leo wameua tena. Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru.
Hata polisi wenye busara wanapata shida kwa sababu hakuna weledi tena ni ubabe tu!!Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.
Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...
Stay tuned..
UPDATES:
"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
---------------
UPDATE: 10, JULAI, 2017
Mbunge Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 na wadhamini wawili. Ushahidi haujakamilika na kesi imeahirishwa hadi August 7, 2017.
Hivi hiyo milioni kumi unailipa kwanza alafu ndo anapata dhamana au?? Naomba nielekeze hapa mkuuHabari njema kutoka mahakamani KISUTU jijini Dar es Salaam,Mbunge wa Kawe mheshimiwa Halima Mdee amekubaliwa dhamana ya bondi ya sh milioni 10 na wadhamini wawili.
Haki hajawahi kushindwa hata siku moja.
Yule sio binadamu mwenzako, Yule ni mamlaka. Endelea kuwaabudu wana ufipa
Mkuu hiyo misukule ni zaidi ya mashetani na yanajitahidi kumuiga lucifer mkuu wao!! kila mmoja anajitahidi kuwa shetani zaidi ya mwingine kwa sababu ndizo sifa anazotaka mkuu wao!! Anayetesa sana binadamu mwenzake hasa watetezi wa watanzania huyo anapata sifa zaidi na zaidi kutoka kwa mkuu!!
Mpwa tuna wakati mgumu sana lakini kwa mapenzi yake Mola tutashinda haya.
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Hivi wewe unajua alichokiropoka? ebu kiweke hapanaye aache sasa kuropoka
akirudi Kawe ajifunze kuwa kuna Wanaume hawadhihakiwi