Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,291
- 900
Nipe tano
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Unajifanya hujui aliropoka nini? Arudie tena aone moto
Nasikia kibiti usiku wa kuamkia leo wameua tena. Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru.
Wanaipenda nini mkuu?Nashukuru hata kwetu sina mtu anaipenda ccm huu ni ukombozi mkubwa sana
In god we trust
Mkuu, relax. Life's too short to stress yourself.Mamlaka "my foot" kama amejipa mwenyewe aendelee kuwa Idd Amin Dada yatakayomfika asilaumu
Ngoja nianze kumtembelea Halima sentro, akimaliza tu kesi nachukuaOa umojawapo uone ushikaji wao unatakavyopukutika.
Ngoja nianze kumtembelea Halima sentro, akimaliza tu kesi natupia ndoano, ikitiki tu nabeba mzigo[emoji1] [emoji12] [emoji13]Oa umojawapo uone ushikaji wao unatakavyopukutika.
Kweli mkuu wanatakiwa wabadilike wawe wanachukua vijana tena WAADILIFU kama akina KINGUNGE na LOWASA.Usimlaumu mkuu CCM ni ya wajinga na wazee(TWAWEZA)
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.
Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...
Stay tuned..
UPDATES:
"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
---------------
UPDATE: 10, JULAI, 2017
Mbunge Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 na wadhamini wawili. Ushahidi haujakamilika na kesi imeahirishwa hadi August 7, 2017.
I love this picture.
![]()
Mkuu , habari za Geita , baada ya salamu naomba kujulishwa Matusi ya Mdee kwa Mtukufu wetu .Next time asirudie kumtukana tena Rais wetu mpendwa..
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Ni Wakili wa mitandaoni tu Mkuu. Una lingine? Pathetic!Hv ww unashindaga mashauri huko mahakamani kweli?.....ama ni wakili wa mitandaoni tu.
Ina maanisha chama chetu hakichangii chochote mkuu?Kwa sasa ccm inaongoza kwa ujenzi wa viwanda
In god we trust
Dhamana ni sahihi tuu sio pesa taslimu. Na Halima hawezi kukimbia.Dhamana Milion 10? Mbona watu wanatupa pess jamani? Au ndo kukomoana? Kwa kesi ya dhamana Milioni 10?