Maliyamungu Bashite na Mtukufu malaika wa Chato kwa sasa wamejidai kuwapenda Masikini watu wa chini wamegundua masikini huwa wanapenda na kufurahia kusikia Mtu tajiri kafungwa na kufirisiwa mali zake, wamebuni mbinu ya kuwakomoa matajiri wote wenye visasi nao kwa mbinu za kuwabambikia kesi za ajabu ajabu ili wasake huruma toka watu masikini waje kuwapigia kura 2020 ni mbinu ya gharama kubwa kwani kumtengenezea Kesi tajiri ina gharama kubwa zaidi ya safari za nje na ubanaji matumizi inawabidi kuwapa motisha majaji mawakili wa serikali na mbinu zingine za gharama kubwa, wamewahadaa watanzania kwa kuwaongezea Wapinzani humo humo ili wasionekane wanawakomoa wafanyabiashara ni visasi binafsi kupitia mgongo wa siasa ni Aibu kwa sasa badala ya viwanda na maendeleo wamekalia kupoteza pesa na mda kwenye visasi: