ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Ipo siku ninyi mnaotumwa kukamata Watanzania wsiokuwa na atia mtafika nyumbani kwenu mtakuta pamegeuka kibitt.
Halima afungwe tuIpo siku ninyi mnaotumwa kukamata Watanzania wsiokuwa na atia mtafika nyumbani kwenu mtakuta pamegeuka kibitt.
Bashite akipata HIV kwa pesa haramu anazovuna ndipo Nchi itakombolewa hivi sasa Nchi imelaaniwa kupitia Udikteta wa CCMCcm wanachofanya ni ubakaji wa democrasia na ni waoga sana mbele ya chadema ndo maana wanatumia polis zaid kudidimiza upinzani. Ipo cku mambo yatageuka
Polisi wamezidisha saa zaidi ya 48 wakaona Mdee atawashitaki wameamua kujipendekeza kwa malaika mtukufu kutengeneza kesi ya kizushi zushi tu.Polisi na waendesha mashitaka Wa pombe mpaka sasa bado wanalitafuta kosa la Halima kwa tochi.
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.
Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...
Stay tuned..
UPDATES:
"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
---------------
UPDATE: 10, JULAI, 2017
Mbunge Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 na wadhamini wawili. Ushahidi haujakamilika na kesi imeahirishwa hadi August 7, 2017.
Kama kawaida yao eti "uchunguzi haujakamilika" sasa walimkamata wa nini.
Sent from my SM-N920V using JamiiForums mobile app
Bashite ni Mbowe aliyepata Div Zero halafu anawaongoza maprofesa wapumbavuBashite akipata HIV kwa pesa haramu anazovuna ndipo Nchi itakombolewa hivi sasa Nchi imelaaniwa kupitia Udikteta wa CCM
Mkapa kijeba Mkuu. CCM haina vijana wadogowadogokama wa kwetu akina KINGUNGE.Mkapa ni kijina, Bashite mkubwa.
Ukwaju unaweka gizanaye aache sasa kuropoka
akirudi Kawe ajifunze kuwa kuna Wanaume hawadhihakiwi
Akifungwa familia yako itaondokana na madhila inayohangaika nayo sasa?Halima afungwe tu
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Kupata zero haina tatizo maana panaweza kuwa na sababu zilizochangia kupata zero. Sendeka alipata zero vile vile lakini leo chama cha makinikia kimempa dhamana ya ukuu wa mkoa wa Njombe, kwa watu wenye akili. Huyu hajaenda 'kununua' cheti cha mtu ili afanye udanganyifu. Mbowe kidato cha sita alipata zero, lakini leo anayo shahada ya business administration baada ya kufanya upya mitihani yake. Usimlinganishe Mbowe na bosi wako Bashite aliyenunua cheti cha mtu!Bashite ni Mbowe aliyepata Div Zero halafu anawaongoza maprofesa wapumbavu
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
eeh zisije oza bureeNasubiria mashahidi watakaitwa ili.kuthibitisha hayo matusi...
Acha nikauze nyanya zangu mie