Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Kosa la kupinga maamuzi ya Rais? Polisi nao wanahitaji kuombewa maana wamepewa kazi kubwa kutengeneza mashitaka baada ya adhabu Mkuu wa Wilaya ya masaa 48 kuonekana kupwaya!
Bashite Maliyamungu kamshauri awe kama Mseveni wawatunge jela wahindi matajiri wote wamegundua watanzania masikini hufurahia tajiri akifungwa hata kwa kesi ya kutengeneza na kumbambikia, wanataka wabadili katiba Mtukufu atawale mpaka miaka 30 akiwa kikongwe kama kule Zimbabwe.
hakijawah kukuacha salama nahisi uko chini utakua ushakomaa ka jiwe la mtoniUsagaji ni kitu kibaya mno
Tunataka Katiba ya inchi wala siyo ya viongoziNimegundua ndio hicho kitafanyika hawa watu wanaweA kuchange katiba maana hao wote wanaozungumzia hili swalaa wamebebwa na mh rais na wapo tayari kumpa anendelee kuongoza..na wakisema wapeleke bungeni itapita hiyo katiba bila tatizo kabisaaaa
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.
Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.
Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...
Stay tuned..
UPDATES:
"Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
---------------
UPDATE: 10, JULAI, 2017
Mbunge Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 na wadhamini wawili. Ushahidi haujakamilika na kesi imeahirishwa hadi August 7, 2017.
huu upupu wako msubiri bashite mkiwa wa² chumbani ndo umwambieHivi hakukuwa na namna nyingine mpaka apewe dhamana???Angalau angefika ijumaa hivi!!!!
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hivi angetumia lugha kama ya Mkapa Leo kutuita Wapumbavu, Huyu Mdee Leo sii angekuwa amechinjwa kabisa?Mdee alitoa lugha ya matusi na maudhi kwa kiongozi wa nchi, tulimuhoji na baada ya mahojiano tumemfikisha Mahakamani."- Kamanda Mkondya
"Mhe. Halima mdee tulimkamata maeneo ya Ubungo kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais"- Kamanda Mkondya
Degree za kuiba mitihani na kununua vyeti hudhihilika pindi wakikutana na Kesi za kumbambikiana‘’Mhe. Halima mdee tulimkamata kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais" - Kamanda Mkondya
Harafu utaambiwa Kamanda Mkondya ni mhitimu wa Sheria na ana degree kabisaaa. Pathetic!
Hakiwezi kutoka madarakani Kwa sababu hakuna mbadala. Tanzania kuna chama kimoja chadema ni NGO.Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Unapewa kesi uisimamie unaipokea huku chozi linakutoka ukijua unaenda kuaibika na wewe ni baba wa familia na mkeo anafahamika mpaka saluni kuwa ni wa kwako.wakili wa serikali ajiandae kujitia aibu
Alimwambia lini?Alimwambia SPIKA wa Bunge awashughulikie wanaomkosoa ndani ya BUNGE RAIS atawashughulikia nje ya BUNGE.Na huyo ndiyo RAIS wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aka Mwenyekiti wa Chama Cha Makinikia
Hill ndilo la msingi. So huyo hats wengine wanaonewa na mfumo.Tumuombee
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Ccm wanachofanya ni ubakaji wa democrasia na ni waoga sana mbele ya chadema ndo maana wanatumia polis zaid kudidimiza upinzani. Ipo cku mambo yatageukaTumuombee
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
HahahaMbona nasikia wauaji wameshadhibitiwa kule Mwanza.
Nashindwa kuunganisha Mwanza na Kibiti.
Kitendawlii: wao wanaua Kibiti, sisi Mwanza.
Ukitegua zawadi Noah ya pili ya makinikia.
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Tafuta taarifa ipo humu jf.Mbona haijaripotiwa hii wajameni. Tuwe na uhakika na tunachokiandika humu.