Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

Kwa hiyo hii nayo ni moja ya kesi (kati ya makesi lukuki) itakayokuwa inasikilizwa na kuhairishwa huko mahakamani huku watanzania wanyonge wavuja jasho wakiilipia hapo mahakamani...! Alafu mkitoka hapo mnaenda kumuomba mzungu awape pesa za bajeti... Hivi watanzania ujinga uko kwenye DNA?
 
Huyu Magu kasema anabana matumizi. Sada hizi pesa za kuendesha hizi kesi za kizushi haoni kwamba ni kuangamiza pesa za walipakodi ,kwani mata nyingi huwa ana shindwa mahakamani.Hakuna ubbabe usiokuwa na mwisho.Siku moja nyie wakandamiza, watesaji ,wauaji utafika mwisho wenu.Mtajuta kuzaliwa.Na hatutaeasikiliza hata mkilia machozi ya damu.Siku moja udhalumu huunutafika mwisho.Amini ,usiamini.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Polisi washitakiwe kwa kumuweka ndani zaidi ya saa 48 kwani na wao hawapo juu ya sheria, inapaswa waliomuweka huko wapate fundisho ili iwe somo kwao waache kufanya kazi kwa upnevu mkubwa.
Mkuu hatuna sheria ya kumshtaki polisi wanayemshikilia mtuhumiwa zaidi ya saa 48. Wanaweza kwa amri ya mahakama kulazimishwa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani ili asomewe mashtaka yake. Kama hakuna mashtaka anaachiwa huru.
Ingekuwepo hiyo sheria hapa kwetu nina hakika polisi wengi sana wangekuwa wamefunguliwa mashtaka, lakini kwa kuwa hatuna hiyo sheria polisi wataendela tu kuwaonea watuhumiwa.
 
Amepelekwa mahakamani baada ya masaa 24 kupita toka akamatwe, ataachiwa kwa msingi ule alioachiwa Kasusura.
 
Mabashite ya CCM utayaona tuu stunt brain you can't, think simply ni kupiga makofi ndiyoooo no wonder munalingia watu kubeba mavi vichwani selo upuuzi mtupu
Kama hawana adabu tuwafanyeje?
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app

Hiyo tume idaiwe wapi mkuu na ni nani wa kuidai?? Upinzani weshaufyata sasa nani aidai. Ukiufungua mdomo unafungwa
 
haya yote ni madhara ya kufanya kazi kwa kutafuta mkulu akuone huku ukiacha weredi na heshima yako pembeni au kuvitupa kabisa na pengine kuamua kujivika gunia la upumbavu ,uzandiki na ujuha wa kimadaraka kumfurahisha bwana mkubwa
 
Mkuu hatuna sheria ya kumshtaki polisi wanayemshikilia mtuhumiwa zaidi ya saa 48. Wanaweza kwa amri ya mahakama kulazimishwa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani ili asomewe mashtaka yake. Kama hakuna mashtaka anaachiwa huru.
Ingekuwepo hiyo sheria hapa kwetu nina hakika polisi wengi sana wangekuwa wamefunguliwa mashtaka, lakini kwa kuwa hatuna hiyo sheria polisi wataendela tu kuwaonea watuhumiwa.

Unlawful detention

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Ila chamoto anakipata

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Unlawful detention

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Mkuu fafanua hapo. Kuna kesi yoyote ambayo polisi walishawahi kufunguliwa hapa Tz kwa kosa la kumshikilia mtuhumiwa kinyume cha sheria? Nauliza kwa nia njema tu ili tuelimishane. Kwa ufahamu wangu kuna kesi inafunguliwa mahakamani kuomba mahakama itoe amri ya kufikishwa mahakamani kwa mtuhumiwa anayeshikiliwa kinyume cha sheria na polisi.(zaidi ya saa 48) kama kuna zaidi ya hapo tupeane maarifa.
 
Nasikia kibiti usiku wa kuamkia leo wameua tena. Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru.
Mbona nasikia wauaji wameshadhibitiwa kule Mwanza.
Nashindwa kuunganisha Mwanza na Kibiti.
Kitendawlii: wao wanaua Kibiti, sisi Mwanza.
Ukitegua zawadi Noah ya pili ya makinikia.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kafikishwa mahakamani ili tu kujustify kuwekwa ndani muda wote huo. Asije tu akatupiwa kesi ya ''kuhujumu uchumi'' ambayo halina dhamana! Wale wajamaa ni wataalamu wa kufabricate kesi.
Duuuh, hiyo fabrication itakuwa si mchezo hapo
 
Mabashite ya CCM utayaona tuu stunt brain you can't, think simply ni kupiga makofi ndiyoooo no wonder munalingia watu kubeba mavi vichwani selo upuuzi mtupu
Bashite na le mutuz wamebuni mladi wa blackmail kwa matajiri wanawatisha na kuwachukulia pesa kwa visingizio vya kuwalinda wasifikshwe mahakamani kwa kesi za uhujumu uchumi
 
​
‘’Mhe. Halima mdee tulimkamata kwa sababu alikua na kikao na waandishi wa habari akipinga maamuzi ya Rais" - Kamanda Mkondya

Harafu utaambiwa Kamanda Mkondya ni mhitimu wa Sheria na ana degree kabisaaa. Pathetic!
 
Hawa watu wa legal affairs huko mashuleni by then tulikuwa tunawadharau ILA nimegundua ni watu muhimu sana popote pale duniani. Halima James Mdee Mwanasheria mbobezi Aluta continua.
 
Ccm na serikali ya vi- wonder

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom