Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

kwako wewe hapo unaona hilo ndilo jambo la msingi...kwamba asomewe tu mashtaka then mambo mengine yaendelee as if hakuna kilichotokea
Hilo ni la heri ukilinganisha na kumweka tu rumande bila hatma yoyote
 
View attachment 539023
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya

Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.

Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.

Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...

Stay tuned..
salamu za kihuni huni tu afadhali tuwaozeshe wapate wenza labda watajirudi!
 
Hapo hakuna kesi na hata mawakili wa Serikali hawapendi hilo lakini hawajui cha kufanya.Na mkuu hataki kuambiwa unakosea,maana ukishamkosoa you are in for it
Naona utakuwa ulijifungia ndani na huyu mkulu ukajua kuwa hashauriki.
 
Mpaka mtu anafikishwa mahakamani bado haijulikani kosa lake ni lipi?
 
Nasikia kibiti usiku wa kuamkia leo wameua tena. Eeh Mwenyezi Mungu utunusuru.
 
Kafikishwa mahakamani ili tu kujustify kuwekwa ndani muda wote huo. Asije tu akatupiwa kesi ya ''kuhujumu uchumi'' ambayo halina dhamana! Wale wajamaa ni wataalamu wa kufabricate kesi.
 
M
View attachment 539023
Halima Mdee aliyekaa akisalimiana na Esther Bulaya

Mbunge wa Kawe Halima Mdee, hatimaye amefikishwa Mahakamani Kisutu Dar es Salaam.

Bado sijajua atashitakiwa kwa makosa yapi kwani ndo yupo Kisutu.

Hapo awali Mdee aliwekwa Korokoroni Oysterbay Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi. Hata baada ya Masaa 48 kuisha, hakuachiliwa huru kwani aliendelea kushikiliwa.
Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...

Stay tuned..
Mwenye haki ataishi!
 
Wapeane tano tu,ila uzi ni ule.Ni lazima mamlaka iheshimiwe.Ukishaitwa kiongozi huna budi kujiheshimu.
 
bashite umefurahi hadi jino la mwisho nakungojea siku utakapowekwa ndani kwa kupora mali za matajiri wa Dar es salaam
 
Wapeane tano tu,ila uzi ni ule.Ni lazima mamlaka iheshimiwe.Ukishaitwa kiongozi huna budi kujiheshimu.
kwa kwa mamlaka za hovyo zinadai heshima kwa nguvu mamlaka zenye nidhamu zenye kujenga nchi na utawala bora hazingoji kuweka watu ndani ndio ziheshimike au kuuwa watu na kuwachomeka vitu vigumu kweny malinda yao upuuzi mtu atakaye kufa nakufunikwa kiloalfu za mchanga kujigeuza miungu kisa madaraka ni ajabu . acheni upuuzi wa kufanya nchi hii ni yenu peke yenu akili ya hovyo kabisa utawala mbovu unaokusanya bilioni 700 baada ya miaka miwili upewe heshima gani sijui
 
Naona utakuwa ulijifungia ndani na huyu mkulu ukajua kuwa hashauriki.

Utajijua mwenyewe unayeabudu BINADAMU mwenzako badala ya Mungu aliyekuumba.Kama Binadamu anamkosa Mungu na bado Mungu hampi adhabu leo Ukimkosoa binadamu mwenzako unapelekwa rumande
 
Back
Top Bottom