Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!
very nice Dream, Slowly Mungu pamoja nasi na tutafika.
 
Wabongo bana maneno mingiiiii matendo zero!!!Nyinyi endeleeni kulala tu mpaka ndoto zenu zitakapotimia!!!!!??
kulala kwetu kunakupa wewe shida gani we kimbia nao!
inaelekea unauchungu na sisi tulio lala! sisi hatuna uchungu na wewe uliyeamka. kwanza hatujui kama umeamka sisi tumelala.
 
Hata hivyo kama nchi hatutakiwi tujikite kutafuta permanent friends, but permanent interests. Mwaka juzi Rwanda ilikuwa rafiki mkubwa sana wa Tz. Tungekuwa na uwezo pengine tungejenga reli hadi Kigali. But ona yanayotokea leo. Kwa sasa tunaona kama tumetengwa, but in few years, nchi hizi (including yetu), zinaweza kuongozwa na viongozi wengine, na mambo yakabadilika kabisa.

Tunatakiwa tuwe na solid and bold interests kwenye mahusiano na nchi jirani. Na tujue namna ya kulinda hizo interests. Mahusiano ya Tz na Rwanda, yanatakiwa kuwa mutual relation kati ya watu milioni 45 wa Tz na milioni 12 wa Rwanda, na sio kati ya raisi wa Tz na raisi wa Rwanda. Inapotokea anakuwepo raisi mmoja katika nchi hizi anacompromise interests zetu, inatakiwa tuwe tyumejiandaa jinsi ya kupambana na hiyo hali.... kwa wamarekani CIA na FBI wanahusikaga katika stage hizi ikibidi... Why not us?...
Mkuu imebidi nikae nishibe kabla ya kuijibu hoja hii.
Hata hivyo jibu lAke ni simple.
Jaribu kuiona the bigger business picture mkuu.
Nisingependa kuingia katika siasa za Tz/Rwanda, kwani hiyo picha hutaiona.
Tufanye biashara HALALI NA ENDELEVU na the sleeping giant - Kongo.
Miundo mbinu ya Kongo ikiiamarika east Konho itafanya bisshars kubwa sana ns Tanzania na Burundi.
 
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
afnewtest.gif
[/Q
UOTE]

mkuu inapitia Burundi,fatilia mijadala vzuri.ziwa Tanganyika halifiki juu kabisa ya Burundi.ramani yako ina makosa.
 
Tanzania bana, Shida sana hii nchi. All those time tulikuwa wapi au mpaka tuone Kenya, Uganda na Rwanda wanafanya kitu fulani ndiyo na sisi tuige??? Idiot TZ.
Reli tulikuwa nayo mpaka kigoma tumeiuwa wenyewe ili viongozi wajinga wafanye biashara ya Usafirishaji kwa kutumia malori yao, hii ni akili kweli au ni nini???
Hiki kitu Kagame alishakiona akaomba TZ iboreshe reli yake mpaka Kigoma yeye ataendeleza hakuna kilichofanyika siasa za kijinga za kukimbizana na Chadema tu ndiyo viongozi wa serikali na chama chao wanajua ili waweze kutafuna vizuri hakuna kazi nyingine yoyote wanayoweza kufanya.
Kagame ikabidi aangalie other alternative na amepata na atafanikiwa, kwa sababu hii project ya nchi hizi tatu(Kenya, Uganda na Rwanda) imeingilia maslahi ya viongozi wa TZ sasa ndiyo unawasikia wanarukaruka kama huyu mleta mada na dream zake za asubuhi kumekucha yeye ndiyo anavuta blanket.
Hapa hakuna dream,bhili ni suala la kawaida sana na ilitakiwa siku nyingi ukute haya yote yalishafanyika sasa hivi ingetakiwa ukute tunaboresha borders zetu, bandari zote tulishaboresha siku nyingi, barabara muhimu zote zinazotoka kwenye bandari via mipakani ziwe ziko vizuri, mambo ya rushwa yote cleared, yaani ilitakiwa sisi ndiyo tuwe tuna lead ktk haya mambo kiasi kwamba mpaka nchi nyingine ijaribu kufanya tunachokifanya sisi inakuwa inamuwia vigumu kidogo.
Leo hii nchi ni siasa tu na kutafuta njia ya kujaza tumbo tu la watu wachache.
Huyu kiongozi mwenye Malori, J.K a.k.a Riz 1 ataenda wapi na malori yake kama reli itafanya kazi?? Atakubali reli ijengwe na ukiangalia sasa hivi Rais anawekwa na kikundi kidogo cha watu ili alinde maslahi yao kuna dream hapo au ni dream za alinacha??
Wakijenga hiyo reli utasikia mikataba imesainiwa kwa siri reli inajengwa mbovu kesho na keshokutwa imekufa tatizo linarudi palepale, nakwambia hii TZ bila kuuwa hawa viongozi waliopo hakuna kitu kitafanyika tutabaki na Dream, dream.

Tanzania itajengwa na Mchina mwenyewe hata JK anajua. Dream!!!
 
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!

Congo ni kubwa sana na ni nchi amabyo iko vipande vipande, haina naetwork nzuri ya miundo mbinu, hasa barbara Na Reli

Reli ya Kutoka Tanzania mapka Congo hipo ila naona kama imesinzia tu, Reli inatoka bandarini Dar mpaka Kigoma bandarini na hapo kunakuwa na Meli inayobeba mizigo mpka Kalemie ambapo pia kuna Reli inatoka hapo mpaka Lubumbashi, tatizo ndio liko kwenye ufanisi na kuimodernize hiyo reli, kwani kwa train kutoka Kalemie mpka Lubumbashi inachukua hata wiki mbili, kutokana na uchakavu wa Rail na engine za train
hiyo rail ikiimalishwa ni njia nzuri sana ya kusafirisha mizigo kutoka Katanga Copper belt kwenda asia na ulaya
 
Congo ni kubwa sana na ni nchi amabyo iko vipande vipande, haina naetwork nzuri ya miundo mbinu, hasa barbara Na ReliReli ya Kutoka Tanzania mapka Congo hipo ila naona kama imesinzia tu, Reli inatoka bandarini Dar mpaka Kigoma bandarini na hapo kunakuwa na Meli inayobeba mizigo mpka Kalemie ambapo pia kuna Reli inatoka hapo mpaka Lubumbashi, tatizo ndio liko kwenye ufanisi na kuimodernize hiyo reli, kwani kwa train kutoka Kalemie mpka Lubumbashi inachukua hata wiki mbili, kutokana na uchakavu wa Rail na engine za trainhiyo rail ikiimalishwa ni njia nzuri sana ya kusafirisha mizigo kutoka Katanga Copper belt kwenda asia na ulaya
Mkuu kuna kila sababu kuendeleza na ku mordernize reli yetu ya kati , kuvuka ziwa Tanganyika hadi Kalemie na kuendelea na reli hadi Lubumbashi na kuishia Kinshasa.Ndio maana nasema it is a dream that can be put to practice.Tumekalia utajiri wetu wenyewe. Sasa tuchukue hatua mahsusi kujiendeleza na miradi mikubwa kama hii ya ujirani endelevu.
 
Mkuu imebidi nikae nishibe kabla ya kuijibu hoja hii.
Hata hivyo jibu lAke ni simple.
Jaribu kuiona the bigger business picture mkuu.
Nisingependa kuingia katika siasa za Tz/Rwanda, kwani hiyo picha hutaiona.
Tufanye biashara HALALI NA ENDELEVU na the sleeping giant - Kongo.
Miundo mbinu ya Kongo ikiiamarika east Konho itafanya bisshars kubwa sana ns Tanzania na Burundi.

Ni kweli mkuu. Lakini tusiunderestimate opportunities za kufanya biashara na watu zaidi ya milioni 70 wa Kenya, Uganda na Rwanda. Ipo analysis fulani ilifanyika Tz siku za karibuni (sidhani kama imeshakuwa published) ambayo ilionyesha kuwa under ideal conditions Tz tunaweza kuzalisha in excess beef kwa Tsh 2000/kg, mchele Tsh 400/kg, mahindi Tsh 150/kg, maharage Tsh 400/kg, sukari Tsh 600/kg na msxao mengine ambayo sikumbuki figure zake.Nilikuwa zKenya majuzi, bei za hivyo vitu hapo juu ni kati ya mara 3-5 ya hizi. Sina uhakika but nadhani ni the same kwa nchi nyingine zote zinazotuzunguka. Nadhani unafahamu kuwa Potentiality ya Tz ni kuproduce kati ya mara 4-10 (na zaidi) ya mahitaji yake kwa mazao niliyoyataja hapo juu na mengine kama ndizi, mihogo, matunda, mtama, alizeti, ufuta nk.Kwa mantiki hii siku tukiweza kuproduce hata nusu ya potentiality yetu tutahitaji soko la nje, na katika hili majirani zetu hawa watakuwa soko zuri lenye garama ndogo za usafirishaji na pengine bila ushuru wa forodha
 
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!

Mkuu una ndoto nzuri...utekelezaji kwa viongozi wetu ni zero. Sisi ni wakali wa....

View attachment 119101

jk.jpg

ngoma.jpg

kinana.jpg

nape.jpg

nape 2.jpg

TUSUBIRI KIGOMA KUWA DUBAI. TEH TEH
 
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I.have a dream!!!

Mwazo yako ni mazuri, lakini lazima tujiulize maswali haya
1. Kujenga reli kupasua katikati ya Kongo ni ngumu sana kutokana na jiografia ya nchi hii kuwa na misitu minene ya hadi kilometa 1000 yenye mito mikubwa yenye kuhitaji madaraja makubwa sana, hata wabelgiji walishindwa
2.Mipango na mawazo haya mazuri yanaweza kusimamiwa na viongozi wa CCM walioua reli yetu ya kati?
 
Ni kweli mkuu. Lakini tusiunderestimate opportunities za kufanya biashara na watu zaidi ya milioni 70 wa Kenya, Uganda na Rwanda. Ipo analysis fulani ilifanyika Tz siku za karibuni (sidhani kama imeshakuwa published) ambayo ilionyesha kuwa under ideal conditions Tz tunaweza kuzalisha in excess beef kwa Tsh 2000/kg, mchele Tsh 400/kg, mahindi Tsh 150/kg, maharage Tsh 400/kg, sukari Tsh 600/kg na msxao mengine ambayo sikumbuki figure zake.Nilikuwa zKenya majuzi, bei za hivyo vitu hapo juu ni kati ya mara 3-5 ya hizi. Sina uhakika but nadhani ni the same kwa nchi nyingine zote zinazotuzunguka. Nadhani unafahamu kuwa Potentiality ya Tz ni kuproduce kati ya mara 4-10 (na zaidi) ya mahitaji yake kwa mazao niliyoyataja hapo juu na mengine kama ndizi, mihogo, matunda, mtama, alizeti, ufuta nk.Kwa mantiki hii siku tukiweza kuproduce hata nusu ya potentiality yetu tutahitaji soko la nje, na katika hili majirani zetu hawa watakuwa soko zuri lenye garama ndogo za usafirishaji na pengine bila ushuru wa forodha
Ndugu Tuko; Nilivyofahamu Takwimu yako kuwa kilimo kipewe kipaumbele; Hivyo Uwekezaji wakigeni utachangia kuleta targets za kushibisha ndani (nchini) na kuSupply congo au jirani EA. In that case inatubidii tujipange vilivyo na kukaribisha multiagriculture companies. Maandalizi ya kisasa yanahitajika, na uwezo mmoja wa ushirikiano.
 
Mwazo yako ni mazuri, lakini lazima tujiulize maswali haya
1. Kujenga reli kupasua katikati ya Kongo ni ngumu sana kutokana na jiografia ya nchi hii kuwa na misitu minene ya hadi kilometa 1000 yenye mito mikubwa yenye kuhitaji madaraja makubwa sana, hata wabelgiji walishindwa
2.Mipango na mawazo haya mazuri yanaweza kusimamiwa na viongozi wa CCM walioua reli yetu ya kati?
Mkuu hakuna kitu kisichowezekana kama ari na moyo wa kutekeleza miradi kama hiyo ipo.
Soma leo katika gazeti la Daily News, Rais Zuma yuko Kongo katika kupigia chapuo mradi wa Inga Dam.
Mradi mkubwa zaidi wa umeme duniani, utatengeneza umemem 40,000MW.
Sasa wanatafutwa wabia wa mradi na wameanza kujitokeza.
Suez Canal na Panama Canal zilijengwa zaidi ya miaka 100 iliyopita!!!
Tujaribu kuone mbele na kupambana na mazingira yetu kwa ajili ya maendeleo, obstacles should not weigh us down.

Mradi huu wa Dar -Kishasa Rail ni bingo kwa ukanda wa East-Central Afrika.
 
Watanzania mnapaswa kuamshwa kwa viboko lasivyo mtaendelea kulala mchana mkiijenga hii Nchi kupitia ndotoni wakati wenzetu wako macho wakizijenga Nchi zao kwa jasho na damu.....Yaani kwa hali hii tuliyo nayo hakuna msaada mwingine utakaotufaa sisi Wadanganyika zaidi ya bakora tu kuanzia Viongozi wa Serikali,Vyama vya Siasa,Taasisi za Umma,Mashirika ya Umma mpaka Wananchiwa kawaida....Ni bakora tu kwa kwenda mbele labda akili zetu ndio zitachangamka!!!!???
 
Hizi ni PUMBA kali kwa siku ya leo, RELI kutoka Dar hadi Kinshasa? Unatania au unamaanisha kweli?

Kwa nini wasijenge Reli kutoka Baharini kwao moja kwa moja na kuvuta hiyo reli hadi Kin? Au walau hata kutoka Angola.

Kwa Tanzania, tunaweza kutoa huduma kwa miji ya Mashariki mwa Congo peke yake. Miji kama Goma, Mbuji Mayi, Kisangani nk.

Pia ukifanya hivyo, Mtu na Mwanaye watapata sana hasara kwa vituo vya mafuta kibao walivyojenga kwenye barabara nyingi zilizopo hapa Tanzania kwa sasa. Unataka wakale POLISI? Na hao ndiyo wafadhili wakubwa wa wana Siasa na Wapambe wao walioshika nchi. Keep Dreaming.......

cg-150.gif
 
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!

Tujenge na barabara tano juu na chini hadi Congo na bomba la maziwa hadi Kinshasa nadhani ndoto yako itakuwa imetimia endelea kuota ndugu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu kuna kila sababu kuendeleza na ku mordernize reli yetu ya kati , kuvuka ziwa Tanganyika hadi Kalemie na kuendelea na reli hadi Lubumbashi na kuishia Kinshasa.Ndio maana nasema it is a dream that can be put to practice.Tumekalia utajiri wetu wenyewe. Sasa tuchukue hatua mahsusi kujiendeleza na miradi mikubwa kama hii ya ujirani endelevu.

Target kubwa ya Kenya si Rwanda wala Uganda, target kubwa ni kuichukua DRC kibiashara hivyo Kenya anajitahidi kuweka Bandari ya nchi kavu Rwanda na Uganda kuikamata East Congo, lakini Kigeographia Tanzania ndio ana advantage kubwa kaktika hili. Ni kweli miji iliyokuwa far North ya East Congo kama Goma iko karibu sana na Uganda na Rwanda na hata Tanzania kuifikia miji hiyo ni lazima tupite Rwanda,
lakini Tanzania ina advantage ya kufanya biashara na sehemu kubwa ya East Congo na mpaka Katanga province.

Tukitoa Kivu ya Kaskazini ambayo iko mbali na Tanzaia, Kivu ya Kusini na Maniema (Manyema) Pronvice inaweza kuwa target kubwa ya kibiashara, Reli inayotoka Kalemie (Katanga province) kabla ya kufika Lubumbashi (Katanga Province) inapitia Kasongo (Maniema Province), hivyo kunakuwa na Link ya Ziwa Tanganyika kuzifikia pronvice tofauti za DRC na hiyo ni root nzuri sana ya kusafirisha Shaba kutoka copper belt (Katanga Province) kwenda Asia na Europe

Kuna Advantage nyingine ambayo bado hatujaiona vizuri Watanzania ile ya kutumia Ziwa Tanganyika, Kuna link kubwa sana kati ya Tanzania na Zambia na labda Zimbabwe, kwa maana sasa (Wazimbabwe) wanaingia kwa wingi sana Tanzania kufanya manunuzi. kama Rail ya kati ikifanyiwa marekebisho makubwa na Kigoma ikawa Bandari ya nchi kavu na soko kubwa la bidhaa mfano wa Kariakoo (au Dubai ya JK), kinachotakiwa ni kuwekwa Boti za abiria za kisasa ndani ya Ziwa Tanganyika zitakazo unganisha Zambia (Mpulungu port), DRC-Kalemie Port (Katanga province) na DRC-Uvira port (South Kivu), Hilo likiwezekana Tanzania haitatingishika na Coalition inayotengezwa ya Kenya, Uganda, Rwanda

CC: Tuko, Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Mwazo yako ni mazuri, lakini lazima tujiulize maswali haya
1. Kujenga reli kupasua katikati ya Kongo ni ngumu sana kutokana na jiografia ya nchi hii kuwa na misitu minene ya hadi kilometa 1000 yenye mito mikubwa yenye kuhitaji madaraja makubwa sana, hata wabelgiji walishindwa
2.Mipango na mawazo haya mazuri yanaweza kusimamiwa na viongozi wa CCM walioua reli yetu ya kati?

Mkuu; Mtazamo wako kwa wakati huu, Sawa kwakuwa Tunahitaji mengi nchini kabla ya kufika uamuzi wa kupasua misitu kuelekea Magharibi Congo!! Tanzania tunashida kubwa ya kufikisha maji kwa wananchi ambao ni tatizo sugu linatukabili miaka mingi ambapo Maji na sources zote (mitoo,Mabwaa.Maziwa,maporomoko ,bahari,nk) zipo nchini " Vipi tatizo hili tushindwe yaani Mijini na vijijini shida ya maji haisemekii !!"
My take; Tusijeanza na miradi mikubwa ikatushinda nusu ya njia, Ambapo miradi midogo midogo hatujafanikisha !! Hofu zaidi kulumbukiza madeni makubwa juu ya nchi.
Kweli ukarabati na usimamiaji wa Reli ya kati ihamasishwe na kunyanyuliwa juu turudishe hadhi yake !! Kwa uzoefu huu, huko kwingine tutafika bila kujali wakati kwani SOKO ni letu tuu!! Tanzania Mpya ibarikiwe.
 
itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,goma imeshikwa na rwandese na waganda sio rahisi kule na reli ikifika kigali itakuwa rahisi kwao kuliko dar es salaam,nafikiri tuweke politics pembeni tuangalie hizi issue kiuchumi zaidi ndio faida ya kweli itapatikana.

mwambie na mkamasimba aelewe kwamba watusi ni kweli mmevamia kongo ya mashariki maana naona anatetea asichokijua, kivu ni lazima blood suckers muondoke
 
Back
Top Bottom