Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,621
Reaction score
14,577
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!
 
Ni kweli mkuu na hili litawezekana pia kama Bandari za Mtwara kuunganishwa na CONGO kusini kama ambavyo taratibu za kujenga barabara yenye urefu wa KM 120 zilivyoanza, lakini pia kama itawezekana iangaliwe namna ya kupitisha kama sio reli mpaka Kivu basi noi barabara kupitia Burundi

Naunga mkono hoja
 
Na mimi naunga mkono hoja.
Lazima watanzania tufaidike na msimamo wetu ws kisiasa.
EAC ni garasha lakini ushirikiano ns Kongo ni kulamba dume kiuchumi.
 
Itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,Goma imeshikwa na Rwandese na waganda sio rahisi kule na Reli ikifika Kigali itakuwa rahisi kwao kuliko Dar es salaam,nafikiri tuweke politics pembeni tuangalie hizi issue kiuchumi zaidi ndio faida ya kweli itapatikana.
 
Ni kweli mkuu na hili litawezekana pia kama Bandari za Mtwara kuunganishwa na CONGO kusini kama ambavyo taratibu za kujenga barabara yenye urefu wa KM 120 zilivyoanza, lakini pia kama itawezekana iangaliwe namna ya kupitisha kama sio reli mpaka Kivu basi noi barabara kupitia Burundi

Naunga mkono hoja

Mkuu kuna alt nyingi,reli inatoka dar-tabora-mpanda. Mkongo ajenge bandari kasanga ziwa tanganyika,ivutwe reli toka mpanda hadi kasanga.
Kasanga inajengwa barabara kwa pesa ya mkongo hadi sumbawanga,sumbawanga had tunduma kunajengwa lami kwa sasa.
Hivyo mkongo atakw anatumia barabara kutoka dar-mbeya-sumbawanga-kasanga, pia atatumia reli dar-tbr-mpanda-kasanga.
 
Na bila kusahau kuwa TAZARA izidi kuimarishwa ili huduma zake kwa Zambia na Lubumbashi DRC ziwe bora na yenye ufanisi
 
Itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,Goma imeshikwa na Rwandese na waganda sio rahisi kule na Reli ikifika Kigali itakuwa rahisi kwao kuliko Dar es salaam,nafikiri tuweke politics pembeni tuangalie hizi issue kiuchumi zaidi ndio faida ya kweli itapatikana.

Mkuu hapa ni masuala ya kiuchumi na utajiri wa Kongo haupo Goma peke yake, ni the whole of the Kongo East.
Na hapo ndo nasema nchi mbili huru za Kongo na Tanzania should take the initiative ys kujenga reli hii. Usisahau kuwa Kongo na Tanzania should take the initiative ya kujenga reli hii. Usisahau kuwa Goma si sehemu ya Rwanda na Kigali si Kongo.
 
hata kupitia zambia via tazara then south kivu inawezekana, labda iwe ni mbali saaana
 
Itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,Goma imeshikwa na Rwandese na waganda sio rahisi kule na Reli ikifika Kigali itakuwa rahisi kwao kuliko Dar es salaam,nafikiri tuweke politics pembeni tuangalie hizi issue kiuchumi zaidi ndio faida ya kweli itapatikana.
hawa si ndio wana shirikiana m23 na wizi wa madini, yaani waliona njia hiyo ni bora zaidi ya njia za kuishi kwa Amani? sasa DRC atapenda kufanya nao biashara kweli?
 
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
afnewtest.gif
 
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.

Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.

Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.

Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.

Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.

Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.

Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..

Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.

Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.

Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.

I have a dream!!!

Hata hivyo kama nchi hatutakiwi tujikite kutafuta permanent friends, but permanent interests. Mwaka juzi Rwanda ilikuwa rafiki mkubwa sana wa Tz. Tungekuwa na uwezo pengine tungejenga reli hadi Kigali. But ona yanayotokea leo. Kwa sasa tunaona kama tumetengwa, but in few years, nchi hizi (including yetu), zinaweza kuongozwa na viongozi wengine, na mambo yakabadilika kabisa.

Tunatakiwa tuwe na solid and bold interests kwenye mahusiano na nchi jirani. Na tujue namna ya kulinda hizo interests. Mahusiano ya Tz na Rwanda, yanatakiwa kuwa mutual relation kati ya watu milioni 45 wa Tz na milioni 12 wa Rwanda, na sio kati ya raisi wa Tz na raisi wa Rwanda. Inapotokea anakuwepo raisi mmoja katika nchi hizi anacompromise interests zetu, inatakiwa tuwe tyumejiandaa jinsi ya kupambana na hiyo hali.... kwa wamarekani CIA na FBI wanahusikaga katika stage hizi ikibidi... Why not us?...
 
Unafikiri kuwa nchi ya Congo haina Bandari?
 
mkuu umenena kweli.
Nalog off
 
Endelea kujidanganya...
 
Tujenge bombaxla kuleta ulanzi na mbege kutoka iringa na machame respectively
 
Ni kweli mkuu na hili litawezekana pia kama Bandari za Mtwara kuunganishwa na CONGO kusini kama ambavyo taratibu za kujenga barabara yenye urefu wa KM 120 zilivyoanza, lakini pia kama itawezekana iangaliwe namna ya kupitisha kama sio reli mpaka Kivu basi noi barabara kupitia Burundi

Naunga mkono hoja

Wabongo bana maneno mingiiiii matendo zero!!!Nyinyi endeleeni kulala tu mpaka ndoto zenu zitakapotimia!!!!!??
 
Back
Top Bottom