Ni kweli mkuu. Lakini tusiunderestimate opportunities za kufanya biashara na watu zaidi ya milioni 70 wa Kenya, Uganda na Rwanda. Ipo analysis fulani ilifanyika Tz siku za karibuni (sidhani kama imeshakuwa published) ambayo ilionyesha kuwa under ideal conditions Tz tunaweza kuzalisha in excess beef kwa Tsh 2000/kg, mchele Tsh 400/kg, mahindi Tsh 150/kg, maharage Tsh 400/kg, sukari Tsh 600/kg na msxao mengine ambayo sikumbuki figure zake.Nilikuwa zKenya majuzi, bei za hivyo vitu hapo juu ni kati ya mara 3-5 ya hizi. Sina uhakika but nadhani ni the same kwa nchi nyingine zote zinazotuzunguka. Nadhani unafahamu kuwa Potentiality ya Tz ni kuproduce kati ya mara 4-10 (na zaidi) ya mahitaji yake kwa mazao niliyoyataja hapo juu na mengine kama ndizi, mihogo, matunda, mtama, alizeti, ufuta nk.Kwa mantiki hii siku tukiweza kuproduce hata nusu ya potentiality yetu tutahitaji soko la nje, na katika hili majirani zetu hawa watakuwa soko zuri lenye garama ndogo za usafirishaji na pengine bila ushuru wa forodha