Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

This is what we want in jf!sio porojo zisizo na msingi.....GREAT MKUU!
 
Dah wabongo bana kwa kukosa maarifa ndio wa kwanza mf.mbona kuna reli ya TAZARA HAITUMIKI NA MNATUMIA TRUCKS KUSAFIRISHA MIZIGOna mafuta na mingi toka DSM PORT Inaenda zambia migodini (copper mining) na South DRC (copper and cobalt mining) so why msianze na reli ya kati na tazara.pia why msiyatoe magari ya mizigo TANZAM ROAD KWANZA Mtoa mada umechemka saana huna jipya fanya utafiti kwanza .

We Mgeni bongo nini? TAZARA na TRC mabewa yote Bakharesa(AZAM) kashakodisha mpaka 2020 na mengine anajenga yey mwenyewe hata reli ya kati ni hivyohivyo tu maaana Mabehewa ni machache sana na yote hayatoshi hata Kumuhudumia Bakharesa(AZAM) sembuse hao wafanya biashara wengine na Vikjontena vyao viwili, 3, 5 10. Huwezi pata behewa.
 
Wazo ni Zuri sana lakini hakuna serikali sikivu, tumeshinda ya reli ya kati, kila siku vyuma vyake vinauzwa kama chuma chakavu, mawaziri ndio wenye miradi hii, hapo kuna kitu kweli?
 
We Mgeni bongo nini? TAZARA na TRC mabewa yote Bakharesa(AZAM) kashakodisha mpaka 2020 na mengine anajenga yey mwenyewe hata reli ya kati ni hivyohivyo tu maaana Mabehewa ni machache sana na yote hayatoshi hata Kumuhudumia Bakharesa(AZAM) sembuse hao wafanya biashara wengine na Vikjontena vyao viwili, 3, 5 10. Huwezi pata behewa.

Shida ni kua una wrong info ma nigga ninasema reli ifanye kaz kama trucks zilivyo nyingi kwenye barabara wenzetu SA wanapeleka DRC kwa mwaka mzigo Tani milioni moja na Tz inapeleka mzigo tani laki 3 pia kwa sisi ni karibu hapa reli ingefnya kazi tungesafirisha mzigo zaidi ya tani milioni 3 (reli+trucks) nakupa info hizo kidogo uelewe uache majibu ya wanasiasa ya kuku judge mtu ulivyo ndio umjibu (Kama ulivyosema "Mgeni bongo nini ) acha utanzania
 
Mabehewa ni machache nan anawajibika kununua mabehewa na kama azam kakodi yote why gov isiwekeze kama tanroads kununua na kuboresha reli jaribu kuwa mchanganuaji wa mambo b4 ujaandika na uwe na info za kutosha itakusaidia ili kufika pale tunapitakiwa kufika..!.!!!!!
 
mabehewa ya ziada tutamuomba Mengi badala ya kuwapa biashara watu wanje
 
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
afnewtest.gif

Kusini mwa Rwanda kuna Burundi hapo, sina hakika elevation imekaaje. Zaidi ya hapo, ukiingia Congo, kipande hicho ni "sphere of influence" ya Rwanda.

Labda tupange kuweka na kambi za jeshi kabisa kuilinda hiyo reli.

Zaidi ya hapo hapo kati pana bonge la tropical rainforest lenye ma swamp yasiyo mchezo, kuna Congo basin, siyo haiwezekani kujenga reli, ila itakuwa kazi sana halafu sio lazima the shortest route iwe the most economically feasible.
 
Wala hakuna haja ya kupita Malawi au Rwanda. Itapita Burundi manake ndo karibu na Kinshasa!!!!!

Hakuna reli cha rel wala nin hapa Tazara tu au reli ya kati imewashinda zenye kilomita 1000-2000 hii leo mjenge ya kwenda kinshasa trucks mumpe nani muache kuharibu barabara za magufuli et mjenge reli. kwanza kinshasa wana port inaitwa matadi kule atlantic.
 
Kusini mwa Rwanda kuna Burundi hapo, sina hakika elevation imekaaje. Zaidi ya hapo, ukiingia Congo, kipande hicho ni "sphere of influence" ya Rwanda.

Labda tupange kuweka na kambi za jeshi kabisa kuilinda hiyo reli.

Zaidi ya hapo hapo kati pana bonge la tropical rainforest lenye ma swamp yasiyo mchezo, kuna Congo basin, siyo haiwezekani kujenga reli, ila itakuwa kazi sana halafu sio lazima the shortest route iwe the most economically feasible.

Mkuu "sphere of influence ya Rwanda" sasa ni histori mbona huelewi somo.
 
Hakuna reli cha rel wala nin hapa Tazara tu au reli ya kati imewashinda zenye kilomita 1000-2000 hii leo mjenge ya kwenda kinshasa trucks mumpe nani muache kuharibu barabara za magufuli et mjenge reli. kwanza kinshasa wana port inaitwa matadi kule atlantic.
Mkuu kama hujaelewa mantiki ya mada ni heri ukakaa kimya tu.
At any rate conctributions zako hazina mashiko.
 
Godemae said:
Dah wabongo bana kwa kukosa maarifa ndio wa kwanza mf.mbona kuna reli ya TAZARA HAITUMIKI NA MNATUMIA TRUCKS KUSAFIRISHA MIZIGOna mafuta na mingi toka DSM PORT Inaenda zambia migodini (copper mining) na South DRC (copper and cobalt mining) so why msianze na reli ya kati na tazara.pia why msiyatoe magari ya mizigo TANZAM ROAD KWANZA Mtoa mada umechemka saana huna jipya fanya utafiti kwanza .

We Mgeni bongo nini? TAZARA na TRC mabewa yote Bakharesa(AZAM) kashakodisha mpaka 2020 na mengine anajenga yey mwenyewe hata reli ya kati ni hivyohivyo tu maaana Mabehewa ni machache sana na yote hayatoshi hata Kumuhudumia Bakharesa(AZAM) sembuse hao wafanya biashara wengine na Vikjontena vyao viwili, 3, 5 10. Huwezi pata behewa.

Shida ni kua una wrong info ma nigga ninasema reli ifanye kaz kama trucks zilivyo nyingi kwenye barabara wenzetu SA wanapeleka DRC kwa mwaka mzigo Tani milioni moja na Tz inapeleka mzigo tani laki 3 pia kwa sisi ni karibu hapa reli ingefnya kazi tungesafirisha mzigo zaidi ya tani milioni 3 (reli+trucks) nakupa info hizo kidogo uelewe uache majibu ya wanasiasa ya kuku judge mtu ulivyo ndio umjibu (Kama ulivyosema "Mgeni bongo nini ) acha utanzania
Godemae

Usinifanye MIMI sina UFAHAMU, Angalia post yako ya kwanza hapo juu Ukilalamikia kuwa watui hawa tumii TAZARA na angalia majibu yangu ya kwanini tazara haitumiki,

then ndio uje kuandika hayo majibu yako ya shule ya kata tafadhali.

zaidi yapo njoo na hoja nyingine, lakini kw apost ya kwanza ya kulalamikia watu hawatumii tazara badala yake ni malori tu, nimekujibu vizuri sana na pia nakuongezea kikwazo kikubwa cha kuboresha Tazara ni wazambia kwani wao ndio wneye share nyingi kwenye hiyo reli.
 
Wa kuweka sera na sheria MATUMIZI za kutumia reli au trucks ni serikali au ni RAIA na mimi nina isema serikali ya TZ kitokua na sheria na sera nzuri juu ya reli i think utakua umenielewa.SHULE ZA KATA NI AINA YA USAFIRI NINI ANYWAY Kua SMART ni vizuri zaid (Swali-jibu)
 
Hakuna reli cha rel wala nin hapa Tazara tu au reli ya kati imewashinda zenye kilomita 1000-2000 hii leo mjenge ya kwenda kinshasa trucks mumpe nani muache kuharibu barabara za magufuli et mjenge reli. kwanza kinshasa wana port inaitwa matadi kule atlantic.

If you cant dream of the future you might as well play dead!!
 
Hivi wadanganyika kuikwepa eac ndio kutatua tatizo?
 
Back
Top Bottom