Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Naunga mkono hoja 100%. EAC is NOT for us.
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
![]()
wewe utakuwa unawaza kwa kutumia Ma------ kwani Malawi haipakani na DRC, hivyo point yako inakuwa batili hata kabla ya kuifikiria, pili Joyce hana akili mbovu, ndio ana matamanio lakini anajua anachoweza na asichoweza ndio maana haonge ovyo ovyo, au kufanya vituko ku discredit majirani zake, na pia ndio maana Chisano anaendelea na usuluhishi.
Tatu tunaweza kupitia Zambia ambapo reli ipo kwa sasa au kutumia Kasanga Port. Mpaka hapo au bado akili ipo......?
naona una mtetea mkeo/mumewo kwa kuandika utumbo usio husiana na hali halisi ya bongo na mikakati ya Tz kupambana na watu wenye akili ya vita vita na wiziNaona unatimua vumbi tu Mkuu!Sijui ulikuwa bado una hasira ya kugombezwa na Boss wako kazini wakati unaandika hii post?Ungelala kwanza akili itulie kabla ya kuchangia!!!LOL!!!
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
![]()
Congo ni kubwa sana kulinganisha na nchi zote za EAC. Hata hivyo tusisahau kuwa Congo tulishakuwa nao zamani kibiashara. Kujitoa kwa Rwanda na Uganda ni kupoteza Biashara
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Asante kwa ramani hii, lakini wadau wanasahau kuwa reli hii ya Dar-Kinshasa kwa upande wa Tanzania tayari ipo(Dar-Kigoma).mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
![]()
Tazama vizuri ramani na utaona kuwa toka east Congo ni mbali zaidi hadi Kinshasa kuliko kwenda Dar.Unafikiri kuwa nchi ya Congo haina Bandari?
Sasa Tanzania imejifunza vitu vingi.
Siasa ni mfumo wa kiuchumi ambso utawainua wananchi husika.
Siasa ya Tanzania kwa nchi za nje kwa miska mingi imekuwa ya ukombozi, ukombozi wa mwafrika toka tawala za kikandamizi za kikoloni.
Hivi karibuni Tanzania imejikuta katika sakata la kuitetea Kongo na wananchi wake walioko mashariki mwa Kongo.
Wananchi hawa kwa miaka mingi wamekuwa katika mlolongo wa matatizo ya kukosa amani na ustawi wa jamii.
Umoja wa mataifa umejaribu kwa miongo mingi tu kuleta amani bila mafanikio.
Lakini ni katika jaribio la mwisho hili la kutumia nguvu kwa kuwashirikisha majirani wa Kongo wenye nia ya dhati kuisaidia, sasa tunaona amani yaweza kurejea mashariki ya Kongo.
Ni wazi kuwaTanzania haina chake ndani ya Afrika Masharikikutokana na hatua za wazi za kutengwa na majirani zetu wa kaskazini.
Lakini akufungiaye njia anakuonyesha mlango mzuri zaidi , hata ni kama wa kuufanyia kazi zaidi.
Ni vema sasa watanzania tukaweka mguu ndani ya Kongo, mguu wa kibiashara, mguu ambao hautaondolewa na tsifa lolote..
Ni muhimu sasa wananchi wa Kongo na Tanzania tukawa wamojs na kuendeleza spirit ya Goma, spirit yz ushirikiani kibiashara sasa.
Kilichobaki ni kuendeleza reli ya kati hadi Kigoma. Na kuanzisha rail ferries hadi mashariki mwa Kongo na kushinikiza wenzetu wa Kongo ku ifungua nchi yso kwa kujenga reli hadi Kinshasa.
Utajiri mkubwa wa Kongo na Tanzania utakuwa kichocheo kikubwa sana katika kujenga reli hii.
I have a dream!!!
mkuu hiyo reli kutoka dar hadi kinshasa itapita wapi? malawi au ruanda?? wote hao maadui zetu
![]()
Naungana na wewe Mkuu katika hili South Africa wameshaanza kuwekeza na Zuma alikuwa huko Majuzi na wamekubaliana kujenga Bwawa la Umeme na ushirikiano wa Kibiashara.Tatizo letu ni kwamba bando tuna syndicate ya kimatonyamatonya na hatujielekezi kuwekeza kwa kutumia fursa tulizonazo zaidi yakuzunguka zunguka ulaya. Hapa siyo kuimarisha Reli tu iwe nipamoja na kuwawezesha wafanya Biashara wadogo na Wakati kujipenyeza huko na kufanya shughuli za kibiashara .Pia kuboresha upatikanaji wa mitaji kwa ajili ya uwekezaji kwa kuweka Mikopo ya Riba Nafuu.
Yote yaliyozungumzwa ni mema na mazuri,ispokuwa kabla ya yote tanzania haina budi kuisaidia drc,1> ktk kuimarisha jeshi lake pamoja na kurecruit vijana wenye origin ya kongo wasio na damu ya kitutsi,2>kuimarisha
mfumo bora zaidi kiusalama wa ndani ya drc 3>kunutralise vikosi vyote vidogo vidogo vya waasi pamoja na kunyanganya silaha zote 4>extend democracy and so so
Naunga mkono hoja 100%. EAC is NOT for us.