Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

Dar es salaam- Kinshasa Railway lazima ijengwe.
Actually kwa wale critcs kipande chs Dar -Kigoma kipo , na kiko katika mipango ya improvement/rehabiliyation
 
Its quite clear, mkuu you dont have an argument, you are just arguing for the airs!!

My argument is, you cannot build a railway without doing a "feasibility study". I do not object to ambitious economic projects, but let's go by details and facts. You have neither.

Come fown from the imaginary towers thst you think you are on top of.

Sasa kati yangu ninayeuliza maswali practical ya "feasibility study" na wewe ambaye hutaki maswali hayo, umetuambia "let's dream" kwa uwazi kabisa, nani anahitaji ku "come down from imaginary towers"?

You are so high on whatever you are smoking you do not even want to acknowledge the need for a "feasibility study", if at all you know what that is.

Deep down you are just a poor mn, like me, but who dares not dream of a better future.

I appreciate dreams, but I appreciate a plan more.

And right now you don't even have an implementable dream.

It's more like a pipe dream.
 
Dar es salaam- Kinshasa Railway lazima ijengwe.
Actually kwa wale critcs kipande chs Dar -Kigoma kipo , na kiko katika mipango ya improvement/rehabiliyation

Sasa ulivyosema Dar Kinshasa Railway ni lazima ijengwe ulikuwa una maana gani?

Wewe mwenyewe huwezi hata ku frame the length of the project, unataka kulazimisha?

Ndo yale yale ya "hata kama wananchi mtakula nyasi, ndege ya rais/ rada lazima inunuliwe".

Ushaahidiwa percent fulani nini?
 
My argument is, you cannot build a railway without doing a "feasibility study". I do not object to ambitious economic projects, but let's go by details and facts. You have neither.

Sasa kati yangu ninayeuliza maswali practical ya "feasibility study" na wewe ambaye hutaki maswali hayo, umetuambia "let's dream" kwa uwazi kabisa, nani anahitaji ku "come down from imaginary towers"?

You are so high on whatever you are smoking you do not even want to acknowledge the need for a "feasibility study", if at all you know what that is.

I appreciate dreams, but I appreciate a plan more.

And right now you don't even have an implementable dream.

It's more like a pipe dream.

Tusha kuzoea mkuu, more rhetorics kuliko substance!
By the way, huko uliko una "feasibility study" ya maisha yako huko?
Msife na tai, njooni nyumbani ku share dreams turning into reality, for those who dare to dream.
Kwa miaka sasa hali zenu ngumu, from your posts you are a disillussioned man making fruitless effort to dampen others spirits.
Do do something for yourself, tuma hela kidogo ujengewe kibanda Mabwe Pande, while plots are still available.
 
Kati yako wewe unayesema tuote tu bila plan, na mimi ninayeomba "feasibility study" nani ana rhetoric na nani anataka substance?

Feasibility study ya maisha ya huko maana yake nini? Huko wapi?

Kati yangu mimi ninayetaka tu delve into the down and dirty details na wewe unayetaka tujenge castles hewani with no details nani anataka kufa na tai na nani anataka ku turn a dream into a reality?

How do you turn a dream into reality without feasibility study and planning?

Dua la kuku halimpati mwewe, mimi hali yangu ngumu kivipi? Umekuwa muaguzi wa Mlingotini mtu humjui ushataka kusema hali yake ngumu?

How do you know that I don't have vibanda out the ying yang? From Mabwe pande to Gotham City.

Sasa nishamaliza kujenga vibanda, next phase nataka kuongeza ratio ya madaktari Tanzania, hii ya sasa ya daktari mmoja kwa watu 30,000 ni aibu.

Nasomesha madaktari huko.

Usiende kwa kuotea otea tu.

Toa data hapa, reli unayotaka ijengwe ijengwe vipi? Wapi? Nani ajenge? Kwa fedha gani? Fedha zitarudi vipi? Kwa biashara gani? Kwa muda gani? Matengenezo yatakuwa na gharama gani? Zitakuwa endelevu kivipi? Tutakatishaje hapo kati kwenye misitu na mbwawa? Vipi environmental issues? Mito imekaaje? Elevation? Miji iko wapi? Rasilimali ziko wapi? Njia nzuri zaidi ya kutumia ipi?

Popote pale utakapotaka kuomba mkopo wa project kama hii moja ya vitu muhimu kabisa vya kukuuliza ni "feasibility study", maswali ni hayo na mengine kama hayo.
 
Mkuu you are neither Tanzania nor pro yourself!
May I say rest in peace, where ever you are!
 
How can I be Tanzania? How can anybody be Tanzania?

And what the heck is "pro"?

Is that building castles in the air with neither a feasibility studies nor facts?
 
Dar es salaam- Kinshasa Railway lazima ijengwe.
Actually kwa wale critcs kipande chs Dar -Kigoma kipo , na kiko katika mipango ya improvement/rehabiliyation
Ni lini serikali yenu mtatoa malori barabarani kusafirisha cargo nipe jibu.ili hizi railways zitumike kama kusafirishia cargo.....!!!!!!! Hii leo ukienda Tunduma kuna trucks kibao almost 500 utadhani sijui kiwandani
 
View attachment 119364

Nakubaliana na wewe mkuu juu ya hilo.
Nimeambatanisha taswira ya Tunduma hivi leo(September 2013), na nilipofika hapo nikaambiwa foleni ya malori kwa siku hiyo ni afadhalai maana huwa inafika mpaka pale Mpemba(10km away)!

Reli ya TAZARA imekaa doro.

Na hapa wala hatuhitaji "feasibility studies" kuondoa matatizo haya.
Zaidi ya nusu ya malori haya ni mzigo wa Kongo.
Kwa hiyo reli ya Dar-Kinshasa kwa upande wa Central line lazima ijengwe kupunguza hii heavy traffic ya malori Tunduma.
 
Itakuwa vizuri wengi watafaidika lakini mawazo yako ni kama reactions kwa projects za hao majirani,Goma imeshikwa na Rwandese na waganda sio rahisi kule na Reli ikifika Kigali itakuwa rahisi kwao kuliko Dar... tuangalie hizi issue kiuchumi...

Koba, Congo Mash, mbali na Goma, kuna miji mingi inategemea Tz, kuna Uvira, Baraka, Bukavu nk. Halafu, sio lzm reli ipitie Kigali, tunaweza kujenga reli kutoka Kigoma hadi Bujumbura (less than 200km) na hadi DRC Mash.
 
Hata hivyo kama nchi hatutakiwi tujikite kutafuta permanent friends, but permanent interests. Mwaka juzi Rwanda ilikuwa rafiki mkubwa sana wa Tz. Tungekuwa na uwezo pengine tungejenga reli hadi Kigali. But ona yanayotokea leo. Kwa sasa tunaona kama tumetengwa, but in few years, nchi hizi (including yetu), zinaweza kuongozwa na viongozi wengine, na mambo yakabadilika kabisa.

Tunatakiwa tuwe na solid and bold interests kwenye mahusiano na nchi jirani. Na tujue namna ya kulinda hizo interests. Mahusiano ya Tz na Rwanda, yanatakiwa kuwa mutual relation kati ya watu milioni 45 wa Tz na milioni 12 wa Rwanda, na sio kati ya raisi wa Tz na raisi wa Rwanda. Inapotokea anakuwepo raisi mmoja katika nchi hizi anacompromise interests zetu, inatakiwa tuwe tyumejiandaa jinsi ya kupambana na hiyo hali.... kwa wamarekani CIA na FBI wanahusikaga katika stage hizi ikibidi... Why not us?...

Mkuu nakkunga mkono hoja nadhani Jmushi, Nonda na wengineo watakunga mkono hoja.
 
View attachment 119364

Nakubaliana na wewe mkuu juu ya hilo.
Nimeambatanisha taswira ya Tunduma hivi leo(September 2013), na nilipofika hapo nikaambiwa foleni ya malori kwa siku hiyo ni afadhalai maana huwa inafika mpaka pale Mpemba(10km away)!

Reli ya TAZARA imekaa doro.

Na hapa wala hatuhitaji "feasibility studies" kuondoa matatizo haya.
Zaidi ya nusu ya malori haya ni mzigo wa Kongo.
Kwa hiyo reli ya Dar-Kinshasa kwa upande wa Central line lazima ijengwe kupunguza hii heavy traffic ya malori Tunduma.

Nawapenda sana watu kama wewe umekuja paleeee nilipokua napataka hyo reli sasa ya kinshasa kwa kutokea dar na ili mtengeneze ela ya ukweli mkaanzie pale kapiri mposhi ilipoishia TZR mjenge au mkarabati ipite kitwe mfulira kasumbalesa lubumbashi likasi kolwezi fungulume then ipande kwenda kinshasa na lubumbushi n centre inaweZa kwenda mashariki ya kongo pia .
N:B hizo sehem nilizotaja ndio haya malori yanakokwenda kupeleka either mizigo ya kawaida au ile inakwenda kwenye migodi na kuna migodi ya shaba mingi huko ndio maaana south africa wanatupiga bao wao wana mizigo pia inakwenda huko kutoka durban port so why not TZ.
 
Hakuna reli cha rel wala nin hapa Tazara tu au reli ya kati imewashinda zenye kilomita 1000-2000 hii leo mjenge ya kwenda kinshasa trucks mumpe nani muache kuharibu barabara za magufuli et mjenge reli. kwanza kinshasa wana port inaitwa matadi kule atlantic.

So? Kwa siasa za Tz under CCM zilizojaa longolongo........ Uko sawa mkuu!!!!
 
Back
Top Bottom