Daniel Kolenda kuhubiri mikutano minne kwa wakati mmoja

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Ni mrithi wa Reinhard Bonnke, atahubiri kuanzia leo Morogoro, Iringa, Mbeya na Dodoma.

Ninasogea eneo la tukio Morogoro. Nitawaleta mrejesho itakavyokuwa.

Mungu awabariki wote watakaohudhuria mikutano hii ya cfan-,christ for all nations.
 
IMG_20210603_171752_347.JPG
 
Huyo Bonnke ndiyo nani??
Nilifikiri mrithi wa nabii TB shujaa wa Africa.
Hawa beberu nyuma yake utasikia wananunua au kuuza kitu fulani.
Hizi dini bado zina malengo ya kikoloni.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Bonnke noma sana nakumbukuka nilibaki na kitabu chake.

siku aliyokua anaondoka Tz alisema tutaonana paradiso na tutamgundua huko paradiso kwa kua atakuwa anaimba sauti ya juu mnoo ingawa itakua inakwaruza-kwaruza.
 
Huyo Bonnke ndiyo nani??
Nilifikiri mrithi wa nabii TB shujaa wa Africa.
Hawa beberu nyuma yake utasikia wananunua au kuuza kitu fulani.
Hizi dini bado zina malengo ya kikoloni.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Hauzi kitu chochot na wala haitaji pesa yako anakufundisha na kukuombea
 
Sawa anatumia pesa zake binafsi kufunga masteji na maspika.
Anasafiri bure, hotel pia huduma ni bure.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Sawa anatumia pesa zake binafsi kufunga masteji na maspika.
Anasafiri bure, hotel pia huduma ni bure.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Kwan si kuna sadaka ndugu watu wanatoa ndo zinawezesha hivyo vitu lakin sio kuuza maji au mafuta
 
Siongelei maji wala mafuta, beberu anayetumika kikoloni hana biashara za kuuza chumvi, biashara mbuzi hizo za muafrika.

Sadaka zinafanya hayo yote?? OK!
Nireteeni Gwajimaaaah, oops nje ya mada

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ni mrithi wa REINHARD BONNKE, atahubiri kuanzia leo MOROGORO, IRINGA, MBEYA NA DODOMA.

Ninasogea eneo la tukio Morogoro. Nitawaleta mrejesho itakavyokuwa.

MUNGU AWABARIKI WOTE WATAKAOHUDHURIA MIKUTANO HII YA CFAN-,Christ For All Nations.
mrithi wa Bhonke? ufafanuzi kidogo
 
Ni mrithi wa REINHARD BONNKE, atahubiri kuanzia leo MOROGORO, IRINGA, MBEYA NA DODOMA.

Ninasogea eneo la tukio Morogoro. Nitawaleta mrejesho itakavyokuwa.

MUNGU AWABARIKI WOTE WATAKAOHUDHURIA MIKUTANO HII YA CFAN-,Christ For All Nations.
Kama ni Mzungu ndiyo Mhubiri nitamuamini kuliko Mwafrika Mwenzangu kwani hata katika Neno MZUNGU ukiiondoa Herufi ' Z ' tu neno linalobakia ndiyo Mmiliki Mkuu wa hii dunia tuliyopo sasa.
 
Back
Top Bottom