Damu ya mtu hunuka

Hata Simba wanasimuliana kutokuuana wenyewe kwa wenyewe lakini watabariki kuua Swala pamoja na watu.

BTW napingana na mauaji ya watu....'R.I.P Sokoine@Mawazo@Nyerere@Karume@DrMvungi na mashujaa wote waliotutangulia mbele za haki'.
Dah! Kumbe mzee wa Taifa nae yumo!
 
 

Mkuu naona unajifariji kuwa ulikuwa sahihi kumgonga mlevi. Ila mimi nadhani ulikuwa na kosa na hiyo damu itakudai uhai ulioutoa maisha yako yote. Nikuulize swali kama ni centre hukuwaza kupita taratibu kabisa kwa kuwa centre zinakuwa na watu wengi wa kila aina? Kwa nini unajiona sahihi kutoa uhai, je wewe ni Mungu? Jitafakari sana mkuu,ni kosa sana kumuona binadamu mwenzio hana haki ya kuishi kwa kuwa ni mlevi,kichaa,mzembe nk. Hayo ni mapungufu ambayo aliyetuumba pia anayatambua so be careful brother
 
Unless otherwise na yeye ni mlevi
 
Mwananchi anafia mikononi mwa walinda usalama akidai wamrudishie vitu vyake zikiwemo pesa tasilimu milion kadha... Siku mbili baadae inaonekana maiti yake ikiwa imetupwa porini
Uchunguzi unafanywa na wana usalama saba wanakamatwa wakituhumiwa kuhusika na mauaji, wanasweka lupango kusubiri uchunguzi... Siku mbili tatu anakutwa mmojawao kafia chumba cha selo kwa madai kwamba kajinyonga....! Nijuavyo mimi damu ya mtu hunuka!
 
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
 
Kuna tofauti sana kati ya kugonga Kwa makusudi au bahati mbaya
 
Doh! Huu mwaka kabla ya kupinduka nipo narejea nyuzi zako mbalimbali kwa ajili ya reference badaye katika kuanzisha thread fulani hivi ya moto sana. So help me . God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…