kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,226
- 9,488
Kwa wachawi wanaokula watu nao pia hunukiwa na damu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
NakuombeaDoh! Huu mwaka kabla ya kupinduka nipo narejea nyuzi zako mbalimbali kwa ajili ya reference badaye katika kuanzisha thread fulani hivi ya moto sana. So help me . God

Sana tena mnoKwa wachawi wanaokula watu nao pia hunukiwa na damu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Je mnyama hana haki ya kuishi kama ilivyo kwa binaadamTukitoka kwenye perspective ya kawaida,huenda pia kuua mnyama sio sahihi.
Inawezekana pia huu umwagaji damu baina ya binadamu ni kutokana umwagaji damu kwa wanyama maksudi.
Kuchinja ni kuua, kuua ni kutoa uhai
Je mnyama hana haki ya kuishi kama ilivyo kwa binaadam ?

Jamaa kajutia aisee, ila still this doesn't matter.Aisee kaua 48![]()
![]()
Naona wakorea wana liona Hilo pia, wame Anza kutoa documentary au cinema.Kina Dr Harold Shipman wapo wengi
Unaeza nisaidia PDF yake mkuu.Mkuu,
Umenikumbusha Kitabu kiitwacho "Bado Mmoja" kikiwa na mauaji mfululizo na kila ilipokutwa maiti ya mtu pembeni yake kulikuwa na karatasi yenye tangazo "bado mmoja"
Mauaji hayo yalikuwa yakifanywa na MTU aitwaye "Marcus Sayuki"
Unaeza nisaidia soft copy Mshana JrNakumbuka kukisoma hiki kitabu
Hivi tuna serial killer huko nyumbani kweli na wanajulikana?Naona wakorea wana liona Hilo pia, wame Anza kutoa documentary au cinema.
👉Kuhusu Aina ya watu tulio nao, Kuna wagonjwa wengi- even I huwa naji kemea Nikiwa na hasira
Kuhusu serial killer Hawa wapo, ni vile tu hatuja gunduana.Hivi tuna serial killer huko nyumbani kweli na wanajulikana?
Na kwanini huwa hakuna documentaries za mauwaji bongo? Wakati kila leo kuna mauaji kwani ingesaidia sana kuepuka
Mkuu nakuombea mema tu
Hasira zipo ila tunajizuia tu wengi ila yasifike huko
Asante, nimekuelewa ila nasubiri comment ya Ndugu MshanaKuhusu serial killer Hawa wapo, ni vile tu hatuja gunduana.
👉Katika ngazi zote kuanzia mtu, familia, jamii na hata nchi kwa ujumla.
Wengine nadhani huanza kwa kuchukia kudhihakiwa, so ana ona the only solution ni ku deal na wabaya wake.
Katika ngazi ya familia-, nasikia Wanawake wa kimachame ni mabingwa wa kuwa tanguliza waume zao.
👉Ili wabaki na mali, fatilia nba ni kubwa mno kule ( Mshana Jr atakuwa ana jua hili.
Ingia Amazon utakipata bila shidaUnaeza nisaidia soft copy Mshana Jr
Naweza kujibu halafu jibu langu likabananishwa na mambo ya kisiasaAsante, nimekuelewa ila nasubiri comment ya Ndugu Mshana
Majaribio yafanyike kwenye damu yako ili tuprove kunuka kwa damu ya mtuUnaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Kwel Rama mla watu akitoka na amekua raia mwema na mara ya mwsho kumuona alkua ameokoka sasa sjui kama Bado yupo ndan ya wokovu au alirudia ya kale ,lakn baada ya kutoka kweny mahojiano nligundua alkua anatumikishwa na wachawi' kulko kawaidaKama alipelekwa kwenye mahabusu ya magereza zetu hizi,basi walimpeleka kumshape product ambayo inaweza kuja kuwa muuaji tishio
Simuombei mabaya Rama, simtakii mabaya mimi kama mzazi natamani kusikia kesi yake iliisha na sasa ni kiumbe kipya kabisa! Raia mwema mtaani