Damu ya mtu hunuka

Mkuu Mshana, kumbe ndio maana naona kuna watu ongea yao kwa sasa hadi wanashangaza! wanaweweseka na matamko ya hovyo inawezekana ni damu nini!
 
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Na waliomuua Akwelina
 
Hii kitu ya serial killers nimeona makala kwenye dstv channel inaitwaje ( cjui nimesahau ) sababu ni kama hizo niliokua naangalia Mimi jamaa alikua anaua wanawake/mabinti kisha anabaka maiti
Nimesoma baadhi ya makala za serial killers, Ted Bundy aliamua kuua baada ya kuachwa na mpenzi wake hata wahanga wake walikua ni wanaoendana kimuonekano na aliyekuwa mpenzi wake, nyakati nyingine alikaa na maiti kwa muda mrefu akiendelea kuiingilia (necrophilia). Kuna Andrei Chikatilo uhanithi wake mbele ya wanawake aliulipizia kwa kua mbabe mbele ya wavulana wadogo huku akiwabaka pia hata baada ya kufa aliendelea kuwaingilia au kupiga puchu (necrophilia).

Stori ndefu iwe fupi. Baadhi ya Serial killers huwa wanavutiwa na wao kujiona kama Mungu kwamba wanaamua nani aishi na nani asiishi (serial killers madaktari wana tendency hii).
Wengine hupendelea jinsi wanavyozungumziwa midomoni mwa watu na vyombo vya habari mfano Dennis Rader a.k.a BTK.
Wengine huinjoy ile scenario na kuwapandisha ashki mfano Andrei Chikatilo na David Berkowitz.

Aliyepoint kua anavutiwa na damu ni mmexico mmoja (jina limenitoka) na Charles Manson. Hawa walikua wana mawazo ya kishirikina wote walitaka kuunda followers wengi ambao watafuatisha imani na mitazamo yao bila kupinga.
 
Nilisoma na kuona nadhani ni clouds TV Dogo alitoka akawa anaelezea jinsi alivyobadilika na vile alipokelewa magereza watoto wenzake walivyokua wanamwogopa


Kuna point moja Dogo alitoa alipo ulizwa maisha yake kabla hajakamatwa na ule msala Dogo akasema kuna siku mama ake alikua anapika mboga sasa mama ake akamwambia nenda kaangalie mboga jikoni Dogo anasema ile kufunua mfuniko wa sufuria akautana na mikono ya watu akaita mama mbona kuna mikono ya watu mama ake asema we nae unaona nini angalia tena Dogo kuangalia tena akaona ni nyama ya kawaida.


Ila yote kwa yote lawama zake alikua anazielekeza kwa mama ake
Kama alipelekwa kwenye mahabusu ya magereza zetu hizi,basi walimpeleka kumshape product ambayo inaweza kuja kuwa muuaji tishio
Simuombei mabaya Rama, simtakii mabaya mimi kama mzazi natamani kusikia kesi yake iliisha na sasa ni kiumbe kipya kabisa! Raia mwema mtaani
 
Anakua tu hajapatikana ndo vile watu tunaskiaga matukio ya watu kuuwawa ila muuaji hajakamatwa ila vifo vinakua na hali flani ya mfanano mfano wote wamekatwa katwa

Ila baadae anapokamakwa maelezo yake ndo yanatoa majibu kuwa huyu ni mtu wa namna gani
Shukrani mkuu...
Hasa akiua hakamatwi na kufungwa au inakuaje mpaka inajirudia hiyo interval
 
Wasome hapa baadhi yao...tafsiri yake ni wauaji wanaofanya mauaji mfululizo na wakati mwingine bila sababu yoyote
97935106d0d9b5e28b0f88dbfb19fb6f.jpg
8942b060d6b9e7514fd5869be39b5632.gif
aa91f3b6ab9abd9b10cefd5944635252.jpg
e4fffed4edba57647fdfbbe4d8cbffd9.jpg
06bed28a893db6358c96d9148c9cfb94.jpg
e3364afb4d35ddd13bf76ea0bb97b638.jpg
Death is not funy!
 
Wkt naenda operesheni Dr msaidizi aliniambia haya Sasa ngoja tukapasue tumbo.
Nikamuuliza Mbona unanitisha ss unajua naweza hairisha.
Nae damu imemdhuru nn?
 
Wkt naenda operesheni Dr msaidizi aliniambia haya Sasa ngoja tukapasue tumbo.
Nikamuuliza Mbona unanitisha ss unajua naweza hairisha.
Nae damu imemdhuru nn?
Hapana bali kuiona kila siku nako hufanya ajili I crack kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom