Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,239
- 54,616
Mimi kipimo changu ni kwenye matumizi ya pesa .. je nikipungukiwa pesa.. ata behave vip.. hapo ndio huwa napima.
Binafsi nafikiri watu wangejadili viashiria vya kuwa mtu fulani ananipenda ukweli, kwa mfano: akinywa maji ananiona kwenye glass au anashindwa kujizuia kunisaidia kitu ambacho anakuwa na uwezo nachoHeading ni nzuri sana lakini discussion haiko sawa. Jaribu kuanzisha tena kwa mtazamo mwingine kulingana na heading yako..

We nae... Ukiumwa ukajisaidia hapo hapo kitandani pesa zitakusafisha uchafu? You need someone...(not your mother).kipimo kizuri ni kutoa PESA
Unapotafuta mapenzi ya kweli anzia kwako mwenyewe je unavovitaka mwenzi wako avifanye we unavyo? au kuvifanya??. Acha kuwa mtu wa lawama na kulia lia jichunguze mwenyewe kwanza.We nae... Ukiumwa ukajisaidia hapo hapo kitandani pesa zitakusafisha uchafu? You need someone...(not your mother).
ukitumia kigezo cha pesa utamuona kila mtu mbaya kwasababu hakuna mtu aliye tayari kuwa masikini wengi wa wanawake wanahitaji wenzi wenye pesa.Pethaaaa nikipimo kizuri sana
ahahah ujue nilipo toa reply hii nlikuwa nimetibuliwa na waropokaji juu ya tuhuma mll 10 za wabunge wa ccm.We nae... Ukiumwa ukajisaidia hapo hapo kitandani pesa zitakusafisha uchafu? You need someone...(not your mother).
Yupo alokuwepo kwa ajili yangu wakati hakuna yeyote alokuwepo zaidi yake...lakini akaja nambia alifanya hayo kama rafiki tu sio mpenzi...upendo una tafsiri nyingi sanaYule mwenyewe uthubutu wa kusimama nami wakati wengine wamenikimbia....