Dalili za mwanaume maskini ni hizi

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,217
Reaction score
9,899
Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .

Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.

Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.

Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .

Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
 
Anazipataje hizo hela bila juhudi
 
Una nini lakini?
 
Mi nikimimina mbegu tu, imetoka hiyo, nakupa mpunga wako ukapunge upepo
 
Asavali niendelee tu kuitwa masikini aiseeee....🤥
Maana hayo masharti ni magumu kuliko ya mganga wa kienyeji...😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…