900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,474
- 11,541
labda nzige wanaunga juhudi za awamu ya tano
labda nzige wanaunga juhudi za awamu ya tano
kwahiyo wamekuja na huku kumwondoa waziri fulaniHawa nzige wamemuondoa waziri fulani huko Kenya wiki hii, hawa wadudu ni hatari sana.
. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
. Nzige wa Uhuru wamla Kiunjuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hapana madame ...mimi Nina kinyaa sana '' siwezi kuwala aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, mtakuja kula mavi siku moja mkidhani ni chakula[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha masihara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watamu saaanaa
SOLUTION NI KUWAVUNA KITAALAAMU, KUWAANDAA KTK HALI YA USAFI, KUTENGENEZA MKAANGO KTK PAKTI ZA KUUZWA SUPER MARKETS, TUSAIDIWE KUHAMASISHA JAMII KUWANUNUA KWA WINGI NA KUWATAFUTA, KIPATO KITARUDI KWA WNANCHI WENYEWE, IDADI YAO NZIGE HAO ITAPUNGUA, TUTAWEZA KUFIDIA SEHEMU YA HASARA KTK MAZAO NA VYAKULA.
balaleSio kila panzi ana rangi ya brown kuna ambao wana mpaka rangi ya kijani na mabawa yao ya ndani huwa yanakuwa na rangi tofauti tofauti '' Kuna panzi wengine ni wakubwa tu ....Tulikuwa tuna waita balale miguu yao kama ina miba hivi wanatabia ya kurusha mateke ndio defense yao ....Akirusha tege likikupata kwenye kidole anaweza kukutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni Saa 7 mchana jua kali.Mimi huwa najua kuwa huyu ni panzi ...enzi za utoto wangu nilikuwa na wawinda sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa hivyo hivyo mkuu ....Asubuhi hauwezi kuwapata ...Mchana ndio huwa wanakuja rukaIyo ni Saa 7 mchana jua kali.
😂😂😂😇kama wanaliwa jeshi letu likawadake, watengenezwe vizuri tuuziwe wananchi. pesa itayopatikana walipe bili ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vilishafanyiwa utafiti na kujulikana faida na hasara zake. Hata kama unakulakula hovyo, huwezi kula kinyesi cha aina yoyote ile labda uchanganyiwe kwenye chakula (huenda nako harufu ikawamo kwa mbaliDaah, mtakuja kula mavi siku moja mkidhani ni chakula[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa Bukoba hawa wangegeuka fursa kama seneneKuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua tahadhari kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
Unajua huwa ni wengi sanaSOLUTION NI KUWAVUNA KITAALAAMU, KUWAANDAA KTK HALI YA USAFI, KUTENGENEZA MKAANGO KTK PAKTI ZA KUUZWA SUPER MARKETS, TUSAIDIWE KUHAMASISHA JAMII KUWANUNUA KWA WINGI NA KUWATAFUTA, KIPATO KITARUDI KWA WNANCHI WENYEWE, IDADI YAO NZIGE HAO ITAPUNGUA, TUTAWEZA KUFIDIA SEHEMU YA HASARA KTK MAZAO NA VYAKULA.
MUHIMU NI KWAMBA WATENGENEZWE KWA PILIPILI KIDOGO NA CHUMVI KIASI HATUTAHISI MAUMIVU SAAAANA YANAYOTOKANA NA MAADUI HAO.
Huku bado hawajafika ila dalili zinaonyeshAkwahiyo wamekuja na huku kumwondoa waziri fulani
Wanatisha sana, waliingia unaweza fikiri ni vumbi jingiHao wadudu wakiingia shambani kwako lazima upatwe na kisukari cha kupanda na ushuka +dengue+kwangua vocha+ndonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Du, umenikumbusha mbali. Yule mbwa alikula nzige wa Kinango aliokuwa amewaanika, pakazuka balaa na mwenye mbwaKinango na nzige!
Wahenga mpo?