Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Hivi Nzige ni tofauti na kile kitoweo cha akina Nshomile?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni watamu sana na nutrient na nchi zingine ni delicacy na ni ghali sana
Adjustments.jpg
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hahaha mkuu na wewe umebaka sana panzi aise ...kumbe tupo wengi !!!

Kuna aina ya panzi Fulani hivi nilikuwa na wapenda sana walikuwa wakiruka wanalia taa taa taa ..tatata... Basi mlio wao ulikuwa unanifurahisha mno
Me too[emoji23][emoji23]
'Kubaka panzi'. I see my childhood was superb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu na wewe umebaka sana panzi aise ...kumbe tupo wengi !!!

Kuna aina ya panzi Fulani hivi nilikuwa na wapenda sana walikuwa wakiruka wanalia taa taa taa ..tatata... Basi mlio wao ulikuwa unanifurahisha mno
Tuliobaka panzi tupo wengi eeh,nilikuwa na mchezo wakuweka mabangururu ndani ya chupa moja ili yapigane dah ilikuwa awesome yakipigana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kina nshomilee wakihamia hapo kilimanjaro hata kwa wiki moja kuna nzige hata mmoja atabaki hapo, hebu tuangalie namna ya kutumia ma-nshomile watusaidie kwenye hili, najua Rutashobya anaweza kutafuna kilo 5 za nzige ndani ya nusu saa tu
 
Back
Top Bottom