Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

Ni hatari nzige Kenya, Tanzania vipi tuko na tahadhari yoyote?

 
Waziri Mkuu Bungeni Leo!!

Kuhusu sakata la nzige kuvamia nchini Kenya, Waziri Mkuu amesema: “Nzige ni wadudu hatari sana na wakiingia nchini kwetu watamaliza mazao yetu, kwahiyo kama Serikali tumejipanga kikamilifu kupambana na sakata hilo na pia nitoe rai kwa Watanzania waishio mipakani na Nchi jirani ya Kenya, watoe taarifa mapema kwa mamlaka husika pindi waonapo dalili au kuingia kwa wadudu hao.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kuja waje kuanzia mwezi wa5 hivi itakuwa mahindi yamekauka
Kweli mkubwa angalau wacherewe cherewe kidogo watu tuvune maana wakipitia na hutu tumaindi twetu basi ndio tutakauwa hatuna chetu maana kuanzia September mwishoni tutakuwa kwenye maandamano yasiyo na kikomo kudai jiwe aandolewe kwenye orodha ya wagombea
 
Sio kila panzi ana rangi ya brown kuna ambao wana mpaka rangi ya kijani na mabawa yao ya ndani huwa yanakuwa na rangi tofauti tofauti '' Kuna panzi wengine ni wakubwa tu ....Tulikuwa tuna waita balale miguu yao kama ina miba hivi wanatabia ya kurusha mateke ndio defense yao ....Akirusha tege likikupata kwenye kidole anaweza kukutoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Umenikumbusha utotoni huko moshi. Nilikua napenda kudaka sana hao balalee, kware pamoja na njiwa pori. Sidhani kama sasa hivi bado Wapo.
 
Nilivyoliona hili kundi huko kenya nilijua njaa inakuja ila wamefika. Njaa inakuja tena njaa kubwa sana. I hope hawa wadudu watadhibitiwa.
 
Back
Top Bottom