Ndio hao kuna mtu alieweka picha akisema ndie nzige. Wako kama wana rangi ya kahawia sema ukimkata vibaya vimiguu vyake vina miba anakuchoma na vimiba vyakeHahaha mkuu na wewe umebaka sana panzi aise ...kumbe tupo wengi !!!
Kuna aina ya panzi Fulani hivi nilikuwa na wapenda sana walikuwa wakiruka wanalia taa taa taa ..tatata... Basi mlio wao ulikuwa unanifurahisha mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam madame ..kuna Jamaa kanielewesha vyema nikamuelewaNdio hao kuna mtu alieweka picha akisema ndie nzige. Wako kama wana rangi ya kahawia sema ukimkata vibaya vimiguu vyake vina miba anakuchoma na vimiba vyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wadudu wakiingia shambani kwako lazima upatwe na kisukari cha kupanda na ushuka +dengue+kwangua vocha+ndonda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamekulia ushuani hawajakamata balaleSio kila panzi ana rangi ya brown kuna ambao wana mpaka rangi ya kijani na mabawa yao ya ndani huwa yanakuwa na rangi tofauti tofauti '' Kuna panzi wengine ni wakubwa tu ....Tulikuwa tuna waita balale miguu yao kama ina miba hivi wanatabia ya kurusha mateke ndio defense yao ....Akirusha tege likikupata kwenye kidole anaweza kukutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua tahadhari kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige
Acheni kebehi hakuna anaependa janga ikitokea watashughulikiwa kama sio kuangamizwa kabisaHatuna haja ya kuwadhibiti tutawaelekeza kwenye mashamba ya Mbowe ili akome
Ngoja nitafute wachina inaweza kuwa fursaMimi huwa najua kuwa huyu ni panzi ...enzi za utoto wangu nilikuwa na wawinda sana hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tulikuwa tukicheza pamoja. Watoto wa kizazi hiki wanakosa mengi. Wale panzi siju hizi ni wachche sana.Hahaha mkuu na wewe umebaka sana panzi aise ...kumbe tupo wengi !!!
Kuna aina ya panzi Fulani hivi nilikuwa na wapenda sana walikuwa wakiruka wanalia taa taa taa ..tatata... Basi mlio wao ulikuwa unanifurahisha mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tulikuwa tukicheza pamoja. Watoto wa kizazi hiki wanakosa mengi. Wale panzi siju hizi ni wachche sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah, mtakuja kula mavi siku moja mkidhani ni chakula[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ni watamu sana na nutrient na nchi zingine ni delicacy na ni ghali sana View attachment 1324850View attachment 1324849
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hukuwahi kuwakula wewe eti jamani
Senene ni wa kijani! Hao nawajua!!Mmh sidhani, mi naona wanafanana na senene hivi, ila ni jamii ya panzi hao hao tu.
Hukuwahi kuwakula wewe eti jamani