Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,485
- 4,014
wanaunga juhudi za serikali ya awamu ya tano na chini ya RaisKuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania.
Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V.
Ni vema Serikali ikachukua kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi.
Pia soma
i. Waziri Kenya aliwa kichwa na Uhuru kisa nzige