dalili za kushtua kwa wanawake au wanaume

dalili za kushtua kwa wanawake au wanaume

mpaka ujue hayo si na wewe utakuwa umemmaindi ki aina fulani ndo mkakutanisha majicho.
kwani ukiwa kwenye mishe zako utajuaje kuwa hapa nimetazamwa?
 
najua nitakumbana na vichwa humu ambao wataweza kulifafanua hili suala hivi inakuwaje unamkuta mwanamke au mwanamme hamjuani wala hamjawahi kuonana sehemu yoyote na akukutolea macho kwa sana lakini ukimuangalia yeye anageuza uso na kama ni wewe unafanyaje?

Ukiona hivyo muudy, nenda kajitazame haraka kwenye kioo. Waweza kuta kuna bonge la kamasi limetuna katikati ya mdomo na pua!
 
Last edited by a moderator:
Mine is an ordinary mind....can't comprehend such great things....


Kaka jana nilikuwa Holland Spoor nikakutana na toto la kiArgentina,basi nilivyoliachia tabasamu tu likaingia kwenye pochi yake na kuniambia kaka ahirisha safari yako ambatana na mimi nitakulipa,na nilikuwa na mambo yangu mengi tu nafuatilia, sasa hata mimi nashindwa kuelewa...
 
Back
Top Bottom