najua nitakumbana na vichwa humu ambao wataweza kulifafanua hili suala hivi inakuwaje unamkuta mwanamke au mwanamme hamjuani wala hamjawahi kuonana sehemu yoyote na akukutolea macho kwa sana lakini ukimuangalia yeye anageuza uso na kama ni wewe unafanyaje?