Dalili kuu ya mwanaume shoga!

Waswahili wana msemo wao unasemaga "Pilipili usizozila zinakuwashia nini"
Sasa mashoga wa watu wanakuhusu nini mkuu? Waache tu na dalili zao waendelee kuishi. Watakutana na hukumu yao huko mbele.
 
upo sawa,maana huwez kukazana kusema jamb usilolipenda

1. Genesis 19:1-11

2. Leviticus 18:22
3. Leviticus 20:13
4. Judges 19:16-24
5. 1 Kings 14:24
6. 1 Kings 15:12
7. 2 Kings 23:7
8. Romans 1:18-32
9. 1 Corinthians 6:9-11
10. 1 Timothy 1:8-10
11. Jude 7

Hizi zote zimeandikwa kwenye kitabu kimoja, na zote zinakemea ushoga,so walioandika haya maandiko matakatifu nao walikuwa mashoga?
 
Waswahili wana msemo wao unasemaga "Pilipili usizozila zinakuwashia nini"
Sasa mashoga wa watu wanakuhusu nini mkuu? Waache tu na dalili zao waendelee kuishi. Watakutana na hukumu yao huko mbele.

Are you sure you really know what you are talking about? i really doubt that!
 

Nasikia na anaejamba nae yumo
 
Am really not sure about the findings of that research but one thing am sure about is I HATE and it gets in my nerves when I text someone and he/she replies me with 'K'
 
ila kweli..medem wengi wanapenda kutumia izo maneno...ukiona mwanaume mwenzako kakuandikia ivo ujue kuna walakini
 


Asante Ramadhan Ighondu!!!!! kesho tuletee utafiti wa kijijini kwenu' nigeria mbali sana.
 
Upumbavu huu, je kama baba yako nae anaandika k badala ya okay, xaxa badala ya sasa , vip hapo?
 
Wakuu si busara wala hekima kuwainclude wazee wetu waliotuleta duniani katika malumbano yasiyo na tija.
 
LIKUD

Vyovyote vile, umefanya kila jitihada kuisimamia hoja yako, watu kwa kushindwa kuelewa au kujifanya wao wajuvi zaid wameacha maudhui ya hoja yako wameanza kejeri na matusi.

Wewe umeweka ulichokutana nacho, kama hakina ukweli anaebisha abishe kwa hoja sio kukuita shoga nk.

Tunawafundisha watoto wetu mambo mengi maslani kwetu sisi mtoto wa kiume habebeshwi mwanasesere kwa kumwabia utakuwa na tabia za kike sio za kiume. si dhani kwa kumwambia na kumtahadharisha hivyo, basi wewe mtoa tahadhari umekuwa na tabia za kike na sio kiume.

Inawzekana wanaokupinga nahisi siko sure wakawa na alama hizo.
 
Last edited by a moderator:
Thread zingine bana, haya wakaka muache kuandika hiyo k
 
Umechemka na kautafiti kako au hukupata ruzuku?????????
Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.
 

k
nimekuelewa xaxa
now lala basi sweet dreamz
xoxo
 
jamaa atakuwa mchele tu so anataka avalidate kwa hoja dhaifu. anataka wawe weng
 
"K",, nmekupata mkuu but kipi kinanifanya niwe shoga hpo
 
sio siri mimi nawashangaaga sana jamaa wengine yani mtoto wa kiume anatext "xaxa","mefika" badala na nimefika..niggaaaa waaaaht......!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…