Dalili kuu ya mwanaume shoga!

Dalili kuu ya mwanaume shoga!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Kwa mujibu wa utafiti ulio fanywa na blogu moja huko nchini Nigeria, wanaume wanane kati ya kumi ambao huandika herufi " K" wakimaanisha OKAY ,ni mashoga, yaani ni wanaume wanao ingiliwa kinyume na maumbile. EWE KIJANA WA KITANZANIA, EPUKA MATUMIZI YA NENO "K" UNAPOKUWA UNAANDIKA MESEJI, KWANI UTADHANIWA KUWA SHOGA!
 
Uhusiano wa moja kwa moja baina ya hiyo herufi na ushoga ni nini?

Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.
 
aaaagh! Hizo tafiti muwe mnasoma wenyewe siyo lazima mtushirikishe bwana maana hiyo "k" haina uhusiano wowote na ushoga halaf huku siyo naijeria mpaka mtu awaze hayo
 
Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.

Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
 
Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.

Hata mimi naunga mkono hoja,..huwa ninawa_underate sana watu wanaoandika message kwa mtindo huo....na hasa wanaume.
 
Hata kupenda kuzungumzia zungumzia sana maswala ya ushoga nazo ni dalili za kuwa shoga hivi karibuni!

Kwa hiyo hata manabii walio andika habari za ushoga wa sodoma na Gomora kwenye vitabu vitakatifu nao pia walikuwa mashoga? Wenje na yeye ni shoga?
 
Mwanaume timamu hauwezi kuwa uwasiliana kwa sms na mwanaume mwenzako halafu ukawa unatumia maandishi yanayo tumiwa zaidi na mabinti kama vile " Xaxa' " xo" "k" nakadhalika. Nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.

kwa maana hiyo wengi ni mashoga...........

But I dont see any connections!!!!!!!!!!!
 
vipi mbona una-panick kwani utafiti umeufanya wewe?
Ndio maana nimeuleta hapa JF au ulitaka nilete uzi " Mizengo Punda afungua zahanati ya wazazi kisiwani Pemba"?
 
Back
Top Bottom