Vyumba vya kupanga master bei na eneo hapa Arusha mjini!

Witiri

Member
Dec 12, 2022
38
68
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo hakuna aina ya vyumba ninavyotaka na ni uswahilin sana, msaada plz.
 
tembea kaloleni makao mapya na uzunguni uko majengo ni uswazi
 
gari ama unatembea mzeee kalolen n hapo standi kuu kwa nyuma na makao mapya n stand ya zaman uko au unataka uko chini kwamromboo ama njiro
Yaani atembee kutoka majengo hadi kaloleni mzee? Unatania au hupajui?
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo hakuna aina ya vyumba ninavyotaka na ni uswahilin sana, msaada plz.
Unafanya kazi wapi ili iwe rahisi kukupa ushauri? Na ni jinsia gani?
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo hakuna aina ya vyumba ninavyotaka na ni uswahilin sana, msaada plz.

Vipo, ujaangalia tu vizuri, vimejaa, mcheky huyu Dalali, ni mtu muungwana sana: 0762838280
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa mahali naweza pata chumba cha kupangisha hapa Arusha mjini ambacho ni master. Maana hapa nilipofikia panaitwa majengo hakuna aina ya vyumba ninavyotaka na ni uswahilin sana, msaada plz.
Sasa sisi huyo master wako tunajua anataka chumba gani?
 
Back
Top Bottom