Daladala nzima tukaanza kumsifia Rais Magufuli

Kajifunze kuandika kwanza ndio uje uendelee kusifu na kuabudu.

Siku hizi LUmumba B7 wanasajili hata darasa la saba???
 
Dalili ya uzuu wa vizuu ni kukubaliana ktk kila kitu, hata vya kuwaumiza wenyewe.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Hivi Mkurugenzi wa Twaweza amerudishwa passport yake?Ishu yake ya uraia baada ya ule utafiti wa sauti za wananchi imefikia wapi?
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Mimi huwa sijui huwa unalipwa shilingi ngapi ili uandike kwenye mtandao huu ambao mwenyewe anashitakiwa na serikali kwa kuweka mtandao huu?!
Ila Mungu anakuona kwani post zako ni za kumsifia mtu na si za kuangalia matatizo ya watu, endelea kupata shibe mabegani kwa wanaohangamia.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Tuondolee utaahira wako hapa
 
Mimi huwa sijui huwa unalipwa shilingi ngapi ili uandike kwenye mtandao huu ambao mwenyewe anashitakiwa na serikali kwa kuweka mtandao huu?!
Ila Mungu anakuona kwani post zako ni za kumsifia mtu na si za kuangalia matatizo ya watu, endelea kupata shibe mabegani kwa wanaohangamia.
Matatizo ya watu Ni pamoja na wakulima kunyanyaswa na wafanyabiashara.sasa inapotokea wanasaidiwa kwanini niache kusifia
 
Uzuri ni kwamba madaraja na mishahara haipandi kwa wote, pension 25% kwa wote, ajira hakuna kwa wote, utofauti uliopo ni kwamba angalau wao wanaweza hata kulalamika kupunguza kdg uchungu, lakin nyinyi ni kusifia tu
 
Ndio hivyo wengi wanamchukia nyuma ya baobonye
 
Maana yake kwamba waliokaa kimya ndo wamiliki wa magari binafsi na wengine wapanda daladala
 
uko sahihi, hata mie kijiweni nikiona sura mpya alafu anaanzisha mada za kipuuzi hivi huwa namsifu jamaa balaa

Nani hajui kama jamaa kafeli idara zote, nani hajui jamaa hapendi kukosolewa, nani hajui wakosoaji wamepotea kwenye mazingira yenye utata.

jamaa wana akili kubwa wakaunga mkono ujinga huo wewe na akili ndogo ukachukulia jamaa anakubalika haswaa

ukweli nusu ya walio mchagua huyu bwana wamesha mchoka basi tu hawana namna
 
Matatizo ya watu Ni pamoja na wakulima kunyanyaswa na wafanyabiashara.sasa inapotokea wanasaidiwa kwanini niache kusifia
Wakulima wepi hao waliotishiwa kupigiwa shangazi zao au wengine?!
 
Uzuri ni kwamba madaraja na mishahara haipandi kwa wote, pension 25% kwa wote, ajira hakuna kwa wote, utofauti uliopo ni kwamba angalau wao wanaweza hata kulalamika kupunguza kdg uchungu, lakin nyinyi ni kusifia tu
Hapo hapo rasilimali zimelindwa kwa wote,huduma za afya kuwa Bora Ni kwa wote,reli SGR Pia Ni kwa wote
 
Back
Top Bottom