Daladala nzima tukaanza kumsifia Rais Magufuli

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,819
Reaction score
60,697
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Wa Tznia niwanafiki na waoga sana usiamini maneno yao.....kama unabisha muulize mange Kimambi.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Jinga sana ww.. siku yakikukuta ndo utajua thamani ya maisha ya mtu hata kama ni mmoja
 
Nakuaminia comrade.Viva Magufuli Viva
 
Kwa research yako unaweza hata ukakuta 10/10 na si 7/10 kama unavyosema,ila nikushauri uongeze sample size yako.
Usiifanye sehemu moja jaribu halafu ulete mrejesho.
 
Naskia kuna kikundi maalum kinalipwa wa ajili ya kumsifia jiwe, hizi habari ni za ukweli

.....ndege john
Hakuna kitu Kama hicho.magufuli. Hotuba zake ndizo zinazosisimua na kutufanya tumkubali
 
Back
Top Bottom