ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,814
- 60,685
- Thread starter
- #21
Ndio hivyo wenyenchi wanasema hivyo.Naona nyote mlokuwa kwenye hilo gari uelewa na uwezo wenu wa kureason na kuhoji ni mdogo sana!!
Ndio hivyo wenyenchi wanasema hivyo.Naona nyote mlokuwa kwenye hilo gari uelewa na uwezo wenu wa kureason na kuhoji ni mdogo sana!!
Acha dharau kwa walipa Kodi wa dar.kwa taarifa yako tuko wengi tu Wana CCM hapa townHapa Dar huwezi kukuta maongezi ya kilofa ya kumsifia huyo mauti labda huko kwenu KONGWA DODOMA ambako kila mwananchi ni msukule wa ccm
Acha dharau kwa walipa Kodi weweMagari huwa yanasomba watu kupeleka kwenye mikutano .. humo yamejaa mazombi tu .. sishangai uzi huu.
Jadili hoja iliyopo mezaniOf coz ni ndege john
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Sio kweli , Dar tupo sanaHapa Dar huwezi kukuta maongezi ya kilofa ya kumsifia huyo mauti labda huko kwenu KONGWA DODOMA ambako kila mwananchi ni msukule wa ccm
Naskia kuna kikundi maalum kinalipwa wa ajili ya kumsifia jiwe, hizi habari ni za ukweli
.....ndege john
Kipo cha kumsifia djNaskia kuna kikundi maalum kinalipwa wa ajili ya kumsifia jiwe, hizi habari ni za ukweli
.....ndege john
" ukishawanyima watu uhuru wa mawazo ni rahisi kuwanyima haki nyingine zaidi "Sasa hivi ukiwa hadharani inakubidi kusifia tu hata kinafiki. Ukilogwa ukakosoa basi risasi ama kutekwa nje nje.
Wacha kumfananisha Jesus na wafuasi wa shetani.ukiwa team Magufuli sawasawa upo team Jesus.unadhani Nani hapo wa kukuloga?hakuna!.
" ukishawanyima watu uhuru wa mawazo ni rahisi kuwanyima haki nyingine zaidi "Sasa hivi ukiwa hadharani inakubidi kusifia tu hata kinafiki. Ukilogwa ukakosoa basi risasi ama kutekwa nje nje.