Utafiti wa Twaweza ulishasema kuwa anaungwa mkono zaidi na wajinga, hatudanganyikiTulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.
Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.
Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.
Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.
Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
CCM oyee, zidumu fikra sahihi na pekee za mwenyekiti wa chama.Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.
Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.
Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.
Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.
Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Kwa nn jf wasiweke kitufe cha kudislike?Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.
Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.
Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.
Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.
Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Ukisifia Sheria inakuwa bubu ila ukikosoa inakuwa active hapo hapo.Hivi ile sheria ya kuto kuwa na mijadala ya siasa ama dini kwenye vyombo vua usafiri ilishafutwa enh? Imasikitisha Sana mean ccm afu unasahau sheria mnazo zi asisi wenyewe
2020 hakuna uchaguziTulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.
Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.
Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.
Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.
Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Hotuba zipi mkuu? Au hii 'MANENO NI MAWILI TU KA halafu na TA'Hakuna kitu Kama hicho.magufuli. Hotuba zake ndizo zinazosisimua na kutufanya tumkubali
Hahahaha hahahahaukiwa team Magufuli sawasawa upo team Jesus.unadhani Nani hapo wa kukuloga?hakuna!.
Majizi chadem wana hali mbaya sana kila kona
NdumuNdo nini sasa hii.
kelele zooote humu kumbe jioni unwahi kwa mumeo kwa daladala[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji12] [emoji23]Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.
Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.
Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.
Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.
Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
ukitaka kukwepa risasi mishale msifie jiweSasa hivi ukiwa hadharani inakubidi kusifia tu hata kinafiki. Ukilogwa ukakosoa basi risasi ama kutekwa nje nje.