Daladala nzima tukaanza kumsifia Rais Magufuli

Magufuli ahitaji kukubalika, Magufuli anaitajika kufanya yale anayopaswa kufanya.
Sio fadhila ni wajibu wake.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Yaan kujipendekeza kote huku CCM bado unatumia Madaladala ?
Yaani hata Funny Cargo umeshindwa kununuliwa ?
Bure kabisa
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
SUMATRA walikataza kuongea siasa kwenywe vyombo vya usafiri , mme kaidi ?
 
so WHAT ??✌✌✌😭😭😭
 
Watu wa aina hii hata kufa wanachelewa sana, sijui Mungu huwa anataka waone nini!
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Mwezi ulioisha nilikuwa naelekea Kibaha. Kufika mbezi pale kwenye kituo cha st Joseph wakaingia wanachuo watano. Katika mazungumzo yao walikuwa wakisifia utendaji wa mheshimiwa Rais. Muda kidogo basi zima wakaanza kueleza mazuri ayatendayo Rais. Akatokea nyumbu mmoja na kuanza kutukana kama walivyozoea. Sio utani basi zima walimgeukia na kumshambulia kwa hoja mpaka jamaa akashukia Kibamba mwisho. Sijui alikuwa amefika au aliona hawezi kuwashawishi wale abiria waamini anachokiamini yeye.
 
Acha dharau kwa walipa Kodi wa dar.kwa taarifa yako tuko wengi tu Wana CCM hapa town
Ha ha ha.. Umenikumbusha utafiti wa Twaweza, uliosababisha bosi wake kunyang'anywa pasi ya kusafiria kwa kutuhumiwa sio raia, baada ya tafiti yake kuonyesha mfalme yuko uchi..
 
Propaganda mfu..tulikuwamo na Magufuli amechokwa,tena kama haamini aitishe Uchaguzi mwakani aone Tundu Lissu atakavyomgalagaza.
 
Wewe aidha umetumwa kupima upepo au kama sivyo, basi daladala ile ilikuwa imejaa mazezeta watupu.
 
Hao 7 huenda ni vichaa
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
 
Tulikuwa tupo katika gari makumbusho to T/Segerea,Basi buana katikati ya safari maada ikaanzishwa kuhusu mambo ya mabarabara.

Abiria karibia wote wakawa wanachangia wanakwambia Magufuli Ni kiongozi mwema anajenga mabarabara na madaraja kila Kona ya nchi.

Abiria baadhi wachache sana waliokuwa kimya nadhani hao ndo chadema masalia wakawa wanaona aibu kusema lolote maana bus Zima tulikuwa team Magufuli.Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusemeni tu ukweli Magufuli anakubalika Sana katika wananchi 10 Basi utakuta 7 wanaelewa kazi zinavyoendelea.

Japo changamoto zipo za utawala huu Ila Ni ndogo ndogo Sana kwa mfano maisha ya mbowe hayana athari kwa sisi wananchi Kama ni viongozi hata wa upinzani wapo kibao tunaowakubali wenye uwezo.maisha yetu sisi yanaendelea Kama kawaida.

Tunakula ubwabwa maharage Kama kawaida na hakuna wa kututisha.Hata polisi wenyewe wameacha kabisa manyanyaso.
Kila watanzania 4 mmoja ni lazima awe kichaaaa
 
mburura kweli wew
 
Back
Top Bottom