Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

Sasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu

Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa

Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
View attachment 2428933
Hongera,ila angalia hiyo gari ina miaka imetumika kwa wenye akili na inaonekana mpya..sasa wewe hapo kwa wanuka vikwapa Bongo,baada ya miezi sita tutumie picha tena tuione inaonekana vipi???
 
Haya people bana. Si lazima uwe na gari ndo usipande daladala. Tumia tax, Uber, n.k.
Hapa nia yako najua unataka tujue unamiliki gari aina gani. Anyway hatuna uhakika kama hiyo ni namba C, tena hatujui kama ni yako. Useless...
Pure African spirit, akudanganye ili apate faida gani?!!
 
Back
Top Bottom