Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

Hongera mkuu chuma ya Heshima kabisa hiyo...kikubwa ipe matunzo sasa ili uachane na daladala kabisa!
Kwa gari moja, unakua umepinguza tu, tu siyo kuepuka kabisa. Angala atakapokua na uwezo wa kumiki gari tatu.
 
hapo kakutana na beamer namba C bei sawa na bure,sasa zikianza root za mara kwa mara petrol station na garage na kama hana kipato stable ndiyo atazidi kukumbuka heshima ya daladala.
Wapanda daladala WA Jf bado tupo tupo Sana Tu!
 
Back
Top Bottom