Daktari ashauri msichana wetu wa kazi abebe mimba ili apone...!

Shem mbona kama unakuwa husomi vizuri bana...unaniudhi ujue...binti anatakiwa apigwe kipapai ndio tiba yake hiyo!!!

Mkuu mbona unaonyesha msisitizo, Je wewe ni mzoefu katika jambo hilo?
 
Sihitaji ushauri wa daktari tena kwani nimeshapata ushauri wa kutosha hapa nahitaji experience kutoka kwa wanawake wanaojua hilo tatizo .......

Usikate tamaa mkuu, madakatari wote si sawa, mimi siamini kwamba kuna ugonjwa ambao dawa yake ni kuzaa!. Mwangalieni vizuri huenda anaupungufu wa lishe fulani mwilini au kuna lishe anazipata kuzidi mahitaji ya mwili wake. Je unaweza kuniwekea picha yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom