Neema William
Senior Member
- Jan 3, 2012
- 171
- 76
Utani aisee,chango ni ugonjwa wa tumbo mara nyingi huwa unamshika mwanamke hasa ambae hajazaa,na wengi wakishazaa hutoweka kabisa, kuna baadhi ya makabila wanazifahamu dawa za miti za kupinguza makali ya ugonjwa huu,huwa unauma sn na una mateso makubwa,dawa.zipo za miti na kisasa ,muhimu kuzungumza naye huyo bont kiutatatibu sn akubali kwenda kwao akatafutiwe dawa ,akipona atarudi,kwa kuwa ni bint mdogo wasi wasi wangu ni kwamba ktk akili yake akijua kuwa dawa ni kubeba mimba,anaweza akabeba bila uangalizi na matokeo yake kuangiki amHali pasipo salama,zungumza naye,muandae kisaikolojia ataslewa tu,