acha njaa sauti imefanyaje.Tatizo akiumwa hapo ndani inakuwa ni kimbwaimbwai maana analia na kuugulia mpaka kero, analalamika sana na sauti yake ilivyo eh.........
Mkuu, mpe mtaji arudi kwaoNina msichana wa kazi anayemsaidi mama Ngina shughuli za nyumbani, tumeishi naye kwa takriban miezi mitatu sasa, ni binti wa miaka 16. Lakini tangu aje amekuwa akisumbuliwa na maumivu makali sana ya tumbo kila mwezi, na maumivu hayo yanadumu kati ya siku nne hadi tano na humlaza kitandani akiwa hajiwezi na hawezi kufanya kazi yoyote. Kila tukimpeleka hospitali alikuwa akipewa vidonge vya kutuliza maumivu, lakini kila mwezi hali hiyo imekuwa ikijirudia.
Sasa jana tulimpeleka kwa daktari mmoja wa bingwa wa magonjwa ya wanawake, ndio akatoa huo ushauri kwamba ili binti wetu wa kazi aondokane na maumivu ya tumbo inabidi azae, la sivyo atakuwa akiumwa kila mwezi........
Sasa sijui tumrudishe tu kwao ili akaolewe azae, lakini hayuko tayari kuondoka anasema hawezi kuondoka mpaka atakapotimiza malengo yake ya kukusanya mtaji wa biashara. Kwani anataka akirudi kwao Mbeya akaanzishe biashara ili aweze kuwasidia wazazi wake.
Hebu nishaurini tumsaidieje huyu binti....?
Anahitaji kiasi gani tumchangie humu ndani ili tukusaidie na wewe pia weka wazi mkuuNina msichana wa kazi anayemsaidi mama Ngina shughuli za nyumbani, tumeishi naye kwa takriban miezi mitatu sasa, ni binti wa miaka 16. Lakini tangu aje amekuwa akisumbuliwa na maumivu makali sana ya tumbo kila mwezi, na maumivu hayo yanadumu kati ya siku nne hadi tano na humlaza kitandani akiwa hajiwezi na hawezi kufanya kazi yoyote. Kila tukimpeleka hospitali alikuwa akipewa vidonge vya kutuliza maumivu, lakini kila mwezi hali hiyo imekuwa ikijirudia.
Sasa jana tulimpeleka kwa daktari mmoja wa bingwa wa magonjwa ya wanawake, ndio akatoa huo ushauri kwamba ili binti wetu wa kazi aondokane na maumivu ya tumbo inabidi azae, la sivyo atakuwa akiumwa kila mwezi........
Sasa sijui tumrudishe tu kwao ili akaolewe azae, lakini hayuko tayari kuondoka anasema hawezi kuondoka mpaka atakapotimiza malengo yake ya kukusanya mtaji wa biashara. Kwani anataka akirudi kwao Mbeya akaanzishe biashara ili aweze kuwasidia wazazi wake.
Hebu nishaurini tumsaidieje huyu binti....?
ya maisha huyo.muacheni akipata mtaji ataenda zake mwenyeweNina msichana wa kazi anayemsaidi mama Ngina shughuli za nyumbani, tumeishi naye kwa takriban miezi mitatu sasa, ni binti wa miaka 16. Lakini tangu aje amekuwa akisumbuliwa na maumivu makali sana ya tumbo kila mwezi, na maumivu hayo yanadumu kati ya siku nne hadi tano na humlaza kitandani akiwa hajiwezi na hawezi kufanya kazi yoyote. Kila tukimpeleka hospitali alikuwa akipewa vidonge vya kutuliza maumivu, lakini kila mwezi hali hiyo imekuwa ikijirudia.