Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

my Formula: Ukitaka kujua mpenzi uliyenae ana kupenda au hakupendi..Try to Push her away from you" subiria kakosea siku moja usimsingizie KOSA hakikisha kweli kakosea...Mmaindi kinoma kinoma JITIE huelewi mbele wala nyuma yani unajua kabisa haka kakosa ni kakuongea yaishe ila hakikisha unakua MBOGO bin FARU then tell her we ARE DONE.

Asee akikubali mmalizane wala usipomuona anarudi kuomba samahani kila siku zinavyoenda we kaa ujue Huyo HAKUA WAKO muache aende hata kama ulikua una mjaribu.

Kama anakupenda SHE will try/do all possible alternatives kuhakikisha mna solve yanaisha..as how we did to them na mwanamke aliekupenda ki ukweli hawezi kukubali umuache simple just like that kwa kosa analoamini kweli amelifanya,lazima ashuke atafute hata watu wamuombee msamaha.

Ukionamwanamke anafanya hivyo MSAMEHE na ujue ni wako huyo,asipofanya akiwa ni type ile (siwezi lazimisha mapenzi) Muache aende.

Mapenzi/mahusiano yanataka MAJARIBU hakikisha una mjaribu Mpenzi wako..MUNGU mwenyewe anatujaribu sembuse sisi binadamu ndo tusijaribiane? mpaka umekidhi vigezo nikakuita MKE aseeee ntakua nimekupitisha kwenye majaribu MOTO MOTO.

ONYO :

usimjaribu mpenzi wako akashinda jaribu ulilompa ukajisahau kumsahaulisha na kumpa zawadi...mimi nikishatoaga TEST zangu akishinda huwa ni mwendo wa surprise...usikae ukajiachia ktk mahusiano as if huyo ulonae n dada ako mmezaliwa tumbo moja...darasani kuna mitihani sasa iweje wewe unakaa na mpezni wako mwaka mzima hujampa hata ka QUIZ mpe quiz moto moto akili ipashike na hakikisha akifaulu una mpa ZAWADI tena sio za midoli zawadi zawadi kweli.
Asante sana kaka kwa somo lako kwa kweli
sie wakuja tunateseka sana
 
Naludia tena
Wanawake hawaeleweki
Kikubwa tafta pasa
Usimsahau MUNGU
Wakumbuke wazazi wako
Ova
Kweli kabisa.
Ukute jamaa kawanunulia ukweni hivyo vitu na kwao hajawahi hata kununua hata kiti cha jikoni!
 
Ndugu yangu yalishanikuta na nimekoma sitakuja kuoa mwanamke mzuri sana ni bora kuchukua mwanamke mbaya tu ... wanawake wazuri wanatesa sana wanaume na hawana mapenzi ya dhati na ni waigizaji sana..oa mwanamke mweusi tena mbaya nakuhakikishia hatokusumbua milele ... wanawake wazuri wasiolewe wabak kuwa malaya tu
Dah hata hao nadhan mwanamke yeyote tofaut na ndugu zako hastaili kuoneshwa mapenzi
period
 
kwa hiyo kulipizana ?
Unaweza ukawa unalipiza bila kujua!
Mleta uzi hapo unadhani ataweza tena kumuamini mdada?! Je, huyo mdada atakayekuwa naye unadhani hata umia?!
 
Mkuu umetuangusha sana.. ukimnunulia demu mavitu hayo baki na risiti mwamba. Anapozingua unaenda kubeba mizigo yako huku umekula tinted ya nguvu sana machoni,hamna kumuonea
Dah love is blind
ckutegemea kbsa nlijua namfanyia mke mtarajiwa
 
Habari wakuu

Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22]


SITOMWAMINI MWANAMKE TENA

Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu hivi.

Nakumbuka tulipoanza mahusiano yetu na uliponithibitishia huna mtu kabsa kimapenzi nikajikuta nakupenda tena moyo wangu ulishafika tamati kwako ulionyesha mapenzi ya dhati kwangu sikujua kama mwenzangu ulikua unatafuta njia ya kutoka.

Nakumbuka Ulikubali kwenda kunitambulisha kwenu na nilipokelewa vzr na ndugu zako nilifurahi sana kwa kua nilijua sasa nakaribia kupata mke. Lkn nilishangaa kila ninapokwambia nataka kuleta barua ulikataa na kuniambia bado itanijulisha.

Kwakua tulishafikia muda kdg ktk mapenzi yetu lkn kilichonishangaza kingine hukutaka kabsaa tukutane bila kutumia condom. Hii ilinipa maswali kdg ila sio mbaya nilijipa moyo mpaka tutakapofunga ndoa. Kwakua nashukuru mungu hela ya mboga na kuvaa sikosi Maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja binafsi.

Siku hiyo ulinambia nikununulie vitu vya ndani upelekeke kwenu Maana wazazi wako wanapata shida vitu ni vya zamani halafu vimechoka.nikakununulia kitanda godoro sofa TV nikamalizia na fridge tukapeleka kwenu.

Baada ya miezi miwili kupita ukaniomba nikupe milioni moja ili ufanye biashara ikabidi nichukue mkopo wa milioni mbili kazini. Nikakupa laki nane ili uanze na hiyo biashara cha kushangaza kupita wiki tu ukawa hupatikani kwenye simu nikija kwenu naambiwa umesafiri tena nashangaa bila kuniaga!!

Kuna siku nilikupigia tena simu akapokea mwanaume akanitukana sana yaani ni mtu ambaye una mahusiano nae mda mrefu kabla yangu daaah we mwanamke una roho ngumu sana. Kwanini ulinificha na kuniaminisha mimi ndo wako ili tuje kuoana!!

Ila namshukuru sana mdogo wako siku nilipoenda kwenu tena ndipo akaniita pembeni na kunieleza kila kitu. Kumbe kwangu ulifanya njia ya mafanikio tu lkn uliyempenda ulikua nae. Yaan vitu nilivyonunua mimi umeenda kupanga chumba unaishia na mwanaume uliyempenda. Pia pesa niliyokupa uliyoniomba kwa nia ya biashara umempa huyo mwanaume kaongezea kanunua bodaboda yote nimeambiwa.

Nakupigia simu unamijibu nyodo na kejeri. Ila sawa mi huu mkopo nitaulipa ila namuachia mungu kwa uliyonifanyia. Umenifanya niyachukie mapenzi na nisimuamini mwanamke yeyote sasaivi. Chozi langu namuachia mungu yeye ndo atahukumu. Najua huu ujumbe lazima ukufikie lkn nikwambie tu mi nakutakia kila la kheri

cc: joanah
Ww siumepost fb storry hiii ahaaa ndio ww
 
Kunatime hua natamani niwe na girl nipange nae maisha
Anishauri... Kama sio kuniliwaza anipe mawazo nkipata pesa tufanyaje.......

Ila kumbe haya yote haiwezekani mpaka niwe tajiri
Poa ngoja nizisake
 
nazungumzia wewe uliyesema kama vile ni sawa jamaa kuteseka. huku unajifanya unamjua sana Mungu
Unaweza ukawa unalipiza bila kujua!
Mleta uzi hapo unadhani ataweza tena kumuamini mdada?! Je, huyo mdada atakayekuwa naye unadhani hata umia?!
 
Pole sana mkuu
Ila nikwambie tu hawa wanawake usiwaamini kabisa yaani unaweza mwona msichana mstarabu ametulia lakini anaweza kufanyia mambo ya ajabu ajabu.
Ila na we nako ulikosea unanunua vitu vya ndani unachukua hadi mkopo unampa mwanamke ambaye hata hujamtolea mahari? Hapo umenishangaza.
 
nazungumzia wewe uliyesema kama vile ni sawa jamaa kuteseka. huku unajifanya unamjua sana Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio najifanya saaana ati namjua Mungu, namjua ndio!
Nimeongea hivyo sababu mleta mada alijihalalishia bila ndoa!
 
Asante Khantwe kwa hilo.


Ninachoamini ni Mwanamke akikupenda kweli kweli hawezi kukubali eti umuache wakati fika anajua yeye ndio mwenye kosa,hapo ata tafuta hadi marafiki zako wamuombee msamaha....na staki kuamini upate shida zote hizo kuomba msamaha alfu uje nawewe umtafutie tu sabbu mwenzako umuache [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] sidhani.

Kama ulitaka kumuacha naamini alivyokwambia bwana mimi na wewe basi ilitosha kabisa kua ticket ya kumuacha ila kwakua unampenda huwezi muacha[emoji12]

Tayari kwamimi ntakua nishajua unanipenda so ntakusamehe na kwa kua halikua lengo langu kutaka kukuacha bali lilikua kama JARIBU lazima ntakupiga brain wash na surprise ya maana hata kama ulikua na mpango wa kuniacha baada ya kukusamehe unasahau[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nimekaa na wewe huku sikupendi nitashindwa kuigiza kuomba msamaha ? [emoji23][emoji23] huwezi kuwa serious bwana Perimeter. Kwa bahati mbaya mwanamke akikuchoka amekuchoka huwezi kufanya chochote, labda uniambie unanipeleka masomoni Ulaya naweza nikaahirisha mpango wangu kwa kuwa nitakosa nafasi adhim ya kuingia ulaya bila jasho.
 
walihalalishana, siyo alijihalalishia.

we una ndoa takatifu tayar?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio najifanya saaana ati namjua Mungu, namjua ndio!
Nimeongea hivyo sababu mleta mada alijihalalishia bila ndoa!
 
Back
Top Bottom