Dah! No true love

Mabwana kama 10 wote wanaitwa majina mazuri,Yani anavonisisitiza nisimuumize sikutaraji kama anaweza kuwa hivi
[/QUOTE]

Aaah wee kumi ni wengi asee bora hata wangekua tisa,,,,9 bado ni one digit
 
Kwa hiyo unataka umto*** mwenyewe mkuu wakati masela wenye ugwadu wapo
 
Mkuu hapo watu wanajipigia hamna demu apo ...mtu asikudanganye et huyo demu Ana act hamna ...,hapo km.unahudumia Anza kusitisha haraka huduma ,,
 
Mkuu hapo watu wanajipigia hamna demu apo ...mtu asikudanganye et huyo demu Ana act hamna ...,hapo km.unahudumia Anza kusitisha haraka huduma ,,
Yani madame bana
Afu maisha yake yako vile vile hata sioni kitu flan labda kakipata ambacho naweza jiuliza katoa wapi

Mfano hata Betry la simu tu lilipozengua mimi ndo nimeichkua simu nikamuwekee baada ya kuniambia anaazima ya watu
 
Binadamu kazi sana badala ya kujipongeza nimechukua kifaa kinacho pendwa unalialia.

Hivi kuna mtu humu ndani anapenda kuchukiwa? Hata jiwe anapendwa nama -ccm yoote.

Huna akili Wewe. si-jisifu kuwa unajua chagua yaishe? Hapo Ndo huko chini kuchemke. sasa piga mimba faster fyatua km huna akili.

Towa bandika bandua akija kutahamaki ana team ya mpira hapo mpe rukhsa akapigwe vizuri umesha toa team yako ahhaa! Pembeni kule. Ni wewe sasa kutulia.
Ndiyo kazi ya me rijali
 
Kila siku mnaambiwa ukimpenda mtu usimpende kw moyo wote hamsikii... Ukiona unatumia nguvu kubwa kumpenda mtu ujue upo kwny wrong relationship.. na siku zote mtu aliyejitolea xana kumpenda mtu ndy mwisho wa siku anaumia yy.
 
haya ndo madhara ya kuingilia privacy za watu, hakuna mwanamke asietongozwa hata kama yupo ndoani, kikubwa ni yeye kujiheshimu mbele zako.
Kutongozwa sio shida shida Ni response yake kwa hao wanaomtongoza. Mtu anachati na majamaa 10 na wote ana waitwa sweet names ..hapo kuna walakini
 
 


Man down I repeat man down .. aisee nazidi kuogopa Kuoa
 
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…