Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Haaahhhhhahaaaaaaaaa kulaaaleki shem ndo nini kunichekesha mbele ya mkoloni mida hii? Hilo swali muulize soulmate wangu tafazali



Soulmate anahisi nimeona.... Naogopa kumuuliza....
 
Jamani Gaga rafiki yangu kipenzi... Sijaona hizo parts ndo maana nikauliza.....lol
afadhali sasa maana nilikwambia unilindie.. nimepumua...hivi ushawahi mpenda mtu mpaka ukisikia kimlio cha fb unajua kapost kitu, ukisikia cha bbm unajua katuma kitu au kabadilisha status, ukisikia cha twitter unafollow kama msukule, na kila saa kuangalia kwenye inbox then unaangalia unakuta labda baba au mama yako katuma msg unanunaje?? lol... mapenzi kweli yanarun dunia
 
Mapenzi na shem wangu hayahusiani na kitanda wala uzimaji wa taa......... ushawahi kuwa na mashaka na AshaDii?



Hii post hata Mpenzi Kaizer namtumia.... THANK YOU Darling Shem....
 
Dada sory,nina mtazamo tofauti,if uko hivyo hauko in love!Upo kwenye situation nyingine wataalam wa masuala ya utambuzi wanaweza kueleza haya kwa kina,ila in short hiyo ni kama aina ya kichaa nani tatizo,linahitaji tiba ya ushauri,nionavyo mimi wewe mwenyewe ndo unatakiwa uamue uwe na furaha ama la,mazingira au mtu asikuamulie!Njia nzuri ya kuwa na furaha ni kuwaza,kufikiri na kutenda katika hali chanya!Naweza kuwa tofauti na wengine wote but ndivyo ninavyoyatazama mambo hayo,if u don't agree with me,comvice me logicaly!And one more thing,kila mmoja atafute maana halisi ya upendo na ndipo utajua wengi tuna ukichaa eneo hili,but good news is,love has nothing to do with this matter!
 
Halafu saa zingine mimi huwa nahisi kuwa kwa wengine inaweza kuwa sio LOVE bali ni INFATUATION. Real LOVE takes time.



Ukitaka kujua ni Infatuation wewe lala na mhusika then you will know...lol
 
Bahati nzuri Tausi mi bado sijaoa jana nilienda kufinya pilau kwa bro nikakuta house girl mpya nikamtamani. Kumbuka mimi sijawahi kupenda kamwe huwa natamani siku zote

Wera wera, sasa kaka tumtafute Mwali?????? Vip huyo housegirl uliongea nae, au broth mkali.
 



Ezan... I LIKE U.... Really.....
 
Tabu niliyoipata kwakipindi cha miezi mine iliyopita nimimi namwenyezi mungu ndiyo tunajua,kwani nilikonda nilikuwa nikikaa kwenye kiti ofisini siwezi natoka natembea nje ili mraadi nikidhi haja lakini nikirudi home ndo kwanza hatanikiona picha ya mtu anayefanana naye rohoo inalipuka kwa uoga!!!Asikwambie mtu mimi najiona nimehitimu chuo cha mapenzi!!kasheshe zake nazijua naninaweza kutoa lecture kwa yeyote anayehitaji ushahuri kutoka kwangu!!
 


Yaani hapo Gaga umenikuna... Hii technology ya sasa hii.... Yaani inabidi Ucheki E-mail (hapo ukute ni G&Yahoo) ucheki voice mail, Messages, simu line zooote unaogopa kuzima,...lol... Mie sitaki niseme zaidi yanitia HASIRA! lol
 
... I'm a bit confused..

Kutokana na kupata "No" mbili tatu mfululizo, niliogopa kumaliza kusoma ..kwa kuogopa kupata jibu.. " I think I am not in love"..
 



Eiyer... The Finest kazungumzia hili suala hapo nyuma kua waweza kuta ni "INFATUATION" But kumbuka kua dalili za infatuation na Love zafanana saana, ila zapishaana padogo tu. Kama wee mawazo yako wewe kwa mhusika daima yanaegemea katika kufikiria kilaa mara kutaka lala nae... then waweza define hivo. But hata hivo Eiyer my brother nimekusoma saana kua uko so pessimistic katika masuala ya Mapenzi na juzi kati hapo ulitamka kabisa ua huna mtu na wala hutarajii.... That to me tell "volumes" na this volume almost seals it...

Kingine Mapenzi ni kweli waweza define ni "ukichaa" ndo maana nimeweka hio qoute katika post yangu.... of which i really love....


"I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love" – F. Sagan.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…