Dada,Love is the friendship that cautht fire.It take roots and grows one day at the time.INFATUATION is marked by a feeling of insecurity.It says"we must get married right away,i cant risk loosing u".It has an element of sexual excitement,Kwa kuongeza dada,ni kuwa mimi nilizungumzia hali ulizozungumzia wewe kuwa anakua mapenzini nikaja na mtazamo tofauti kuwa ukiwa na hali hiyo unakuwa hauko mapenzini bali ni mhemko inayosababisha aina ya ukichaa,na ni ugonjwa unahitaji tiba sio kuukumbatia kama ulivyosema mwishoni.Halafu kingine ambacho umechanganya ni kujadili upendo na mtu kujihusisha na mahusiano,hivi ni vitu viwili tofauti,hapa tunapojadili upendo au hali anayokua nayo mtu mwenye hisia za upendo wa kweli huku akijua anachokifanya haiathiriwi na uamuzi wangu wa kutojihusha na uhusiano wa kimapenzi,mapenzi yapo tu hata kama siyafanyi,na matatizo yake yatajadiliwa na watu wote!