kweli ushoga kazi... umemuonaje bila kunambia "mnuno"Shem sababu nimekuona najua hauna kilema, but kuna parts ambazo siruhusiwi kuziona na ndo nauliza.... lol
Bila wivu nitajuaje kama unanipenda?kweli ushoga kazi... umemuonaje bila kunambia "mnuno"
kawaida sana kwa baadhi ya ndugu kusema maneno kama hayo waakiona watu wanappendana, watu wanapenda sana kuona watu wakigombana ili wapate ya kusema wewe keep on loving her mpaka washangaeUsipime dada AshaDii, huwa mara nyingi najiona kama nina bahati ya kipekee sana kumpata huyu mama mtoto wangu, mwanzoni nilihisi nitamzoea lakini kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuoza, sijui kwa upande wake lakini nahisi nayeye ananipenda kwasababu najua anajua ninampenda sana na kwa kunionea huruma hajawahi kuitumia vibaya hii hali yangu kuninyanyasa kimapenzi, Mungu atusaidie kwasababu baadhi ya ndugu zangu wameanza kusema kaniwekea dawa ili nimpende sana, na kama ni kweli basi hiyo dawa nayo nimeipenda.
nakwambia leo mpaka unambie are in love with me? or not anymo..Bila wivu nitajuaje kama unanipenda?
Halafu saa zingine mimi huwa nahisi kuwa kwa wengine inaweza kuwa sio LOVE bali ni INFATUATION. Real LOVE takes time.
elezea kwa undaniMapenzi na shem wangu hayahusiani na kitanda wala uzimaji wa taa......... ushawahi kuwa na mashaka na AshaDii?
Mkuu mimi nipo japo umenitupa,,,,,,, twende kwenye Mada meno yajamaa nadhani walimuwekea ya kiti moto!!mbona yamefanana sana na ya mdudu???Bora umesema wewe mimi nimemwambia akang'oe hayo meno, meno utafikiri makaa ya mawe ya mgodi wa Kiwira...lol
Unanionea bure, mbona nlishajipendekeza muda mwingi tu? Hebu soma huu waraka wangu hapa chini........nakwambia leo mpaka unambie are in love with me? or not anymo..
And when I die I'll keep on living........ for you my darling soulmate....I will love you till I kick the bucket!!
Niliwahi kuwa katika hali kama hiyo nambaya zaidi nilikujakutoa uamzi wa ghafla bila kuzingatia kitakachojili baada ya wiki2 kugundua nipo peke yangu ikawa ngumu wiki ya 3 ikawa nikiona simu yake roho inadunda,nikikutana naye,moyo unalipuka lipu,Usiku nikawa silali namuwaza yeye ila nikamwita nikamwambia yaliyopo moyoni yanayonitesa nanikamwambia uamzi niliouchukua unanitesa lakini sina budi kwani ulichonifanyia sirudi nyuma japo naumia nanimekuja kugundua kwamba nilikuwa nakupenda sana!!Lakini nikawa namuomba nikutanae naye tuongee kama marafiki akakubali kwakuwa nilipokuwa sifanyi hivyo nakesha kwenye pc sipati usingizi kabisa Mimi ni JF,Facebook,Baadae akaja kuomba msamaha kwa aliyoyafanya nakwakuwa ilikuwa siyo mara yake ya kwanza alijutia!!ila nikazoea na sasa moyo haudundi kama mwanzo nimetulia.Nasema i was victim!!!
Hahaha!! Wewe wewe aisee msalimie yule partner wako...lol... mwabie nikija lazima niondoke naeyes yes yes yes yeeees the finest. Nina azam cola yako hapa. Lol!
Aunt ashadii shkamoo!
True, being in love signs, & are uncontrollable, meaning love is leading human, sometimes vyote hivyo anafanya unexpectedly, unintentionally, free hearted, yaani basi tu yote MAPENZI YAMECHUKUA MKONDO....
yes yes yes yes yeeees the finest. Nina azam cola yako hapa. Lol!
Aunt ashadii shkamoo!
oooooh luv u luv u luv u baba matesha wangUnanionea bure, mbona nlishajipendekeza muda mwingi tu? Hebu soma huu waraka wangu hapa chini........
Hamna mkuu nipo wewe ndio naona una mishemishe nyingi tuMkuu mimi nipo japo umenitupa,,,,,,, twende kwenye Mada meno yajamaa nadhani walimuwekea ya kiti moto!!mbona yamefanana sana na ya mdudu???